PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

PreGE2025 Heche: Hatubadili chochote msajili akitaka akifute CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
John Heche

Jaji Mutungi aione hii kwenye faili. Vita ni vita Mura. Hatutishwi, hatutishiki. Msimamo ni uleule.

View attachment 3332945
Ukweli nilijua Heche amepevuka kua atafanya Siasa za kistaarabu na kuheshimu Katiba ya nchi na sheria zake kumbe nilikosea. Nimejiuliza kua CHADEMA tukichukua nchi si kila mtu atafanya anavyotaka maana akutakuwepo utii wa sheria kabisa
 
Sio ajabu kwa Heche kutoiona hatari ya kukaidi maagizo ya msajili. Ni kiongozi asieijua hata katiba ya chama chake. Alizoea kupelekeshwa na mawazo ya Lissu.
 
Sio ajabu kwa Heche kutoiona hatari ya kukaidi maagizo ya msajili. Ni kiongozi asieijua hata katiba ya chama chake. Alizoea kupelekeshwa na mawazo ya Lissu.
Kwamba katiba anachaguliwa na msajili wa vyama , hv unajuwa wajibu wa msajili wa chama ?
 
Ukweli nilijua Heche amepevuka kua atafanya Siasa za kistaarabu na kuheshimu Katiba ya nchi na sheria zake kumbe nilikosea. Nimejiuliza kua CHADEMA tukichukua nchi si kila mtu atafanya anavyotaka maana akutakuwepo utii wa sheria kabisa
Ccm imeheshimu sheria zipi
 
Vip katiba yenu ya kumpitisha mgombea ilifuatwa na Kama haikufuatwa jaji alisemaje
Mkutano ndio wenye mamlaka yote na vikao vyote waweza amua lolote na baraza lenu kuu ndio mamlaka ya mwisho kuamua chochote

Cha msingi akidi itimie .Msajili hapo anachowadai ni akidi kutimia

Anajua kikao chenu cha baraza kuu ndicho kikao cha juu kabisa kama kilivyo cha CCM

Tatizo liko kwenye Akidi.Itisheni kikao cha baraza kuu amueni chochote kitakuwa halali hata kama huko chini hiyo agenda haikuwepo kitakuwa halali

Akidi isipotimia maamuzi yote yanakuwa feki iwe uteuzi wa wajumbe kamati kuu au chochote. Hiyo ndio meseji msajili kawaambia in a very polite but serious language
Itisheni baraza kuu na mhakikishe akidi inatimia hizo porojo zenu mnapoteza muda muda sio rafiki

Mtakuja jikuta munekuwa suprised CHADEMA imefutiwa usajili

Tukiwashauri muwe mnaelewa kama huko CHADEMA hamna waelewa
 
bora wakoloni waludi tu physically maana waafrika hatuwezi jitawala onasasa haya yanayoendelea.
 
Tayari kimesha jifuta. Heche kabaki kutapatapa tu.
Wwnye akili wamesha soma alama za nyakati na kukihama chama.
 
Ushauri wako mbovu
Msajili kasema itisheni baraza kuu akidi itimie mkirudisha hao hao hayo yenu lakini wapitishwe na akidi iliyotima iiidhinishe hizo teuzi zake.Heche aache kupotosha msajili ambayo hakusema

Hakuna mahali msajili kasema mbadilishe au msibadilishe

Acheni mihemko itisheni kikao cha baraza kuu.

Msipoitisha kitafutwa kweli
Kwann yafanyike yote hayo bila mwenyekiti wa chama?
 
T
Kwamba katiba anachaguliwa na msajili wa vyama , hv unajuwa wajibu wa msajili wa chama ?
Tatizo lenu huwa hampendi kusikiliza kutoka kwenye chanzo cha kwanza. Mnabeba maneno ya Heche as if hamna vichwa. Tafuta taarifa ya msajili uiosome kwa lengo la kuelewa(sio kumaliza mistari).

Sio wajibu, ni majukumu. Now you know. Uwache uzembe.
 
Back
Top Bottom