Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,484
- 14,861
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Heche ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika Jimbo la Kibamba, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuendelea kunadi kampeni ya chama hicho ya hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi.