ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
inawezekana mkewe hakua anajua zaidi ya alichoambiwa na mumewe (wanaume wengine hawasemi siri zao zote kwa wake zao)..kuna chombo cha habari asubuhi wamesema,mkewe alienda naye mpaka hotelini lakini marehemu alionekana kutaka kuwa peke yake hivyo mkewe akarudi nyumbani..
ni kweli mke alitakiwa kutoa taarifa polisi..japo polisi nao hawaaminiki sana
hapo kwenye red panahusika zaid....ndoa nyingi zina usiri na hili matokeo yake ni mbaya sana
angetoa taarifa kwa polisi ingesaidia na kuondoa utata jopokuwa hawa polis wenywe hawaaminiki kama anavyodai