Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #181
kumbe alikuwa pia na rafiki/ndugu wengine.... nadhani wao pia walipumbazwaNadhani kuna kitu kama kilimpumbaza huyu mwanamke, na kuona mambo yale ni sawa tu.
kumbe alikuwa pia na rafiki/ndugu wengine.... nadhani wao pia walipumbazwaNadhani kuna kitu kama kilimpumbaza huyu mwanamke, na kuona mambo yale ni sawa tu.
nakubaliana nawe, lakini concern yangu ni kuwa iwapo wote tutazikimbia hizo kazi/positions zitabaki wazi? haiwezekani..... ni lazima wengine wajitolee kuzifanya