yaani rafiki, nilijiuliza saana, mpaka sasa naendelea kujiuliza.
Eti kama mimi kwanza nisingemruhusu aende kulala hoteli, hao wauaji waje wamuue hapo nyumbani na sisi tukishuhudia. tena siku hizo ningejitolea kuwa watchman wake, lol!
Kwanini hakwenda kulala naye hotelini?? Kwanini hakushirikisha hta ndugu? Hta kama alijinyonga mwenyewe bado kuna uzembe na maswali mengi