ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,883
- 131,898
elimu inanoa maarifa u know waweza kuwa umepewa hekima changanya na shule kidogo ubongo huwa haulali inapotokea ishu tata kama hiyo
..katika mahusiano yoyote, kitu cha msingi Ni mawasiliano na wala sio usomi unaouzungumzia wewe, yawezekana ndoa Yao haikuwa na mawasisiliano mazuri na ndio ikapelekea yote hayo kutokea, yawezekana pia sababu ya kutokuwa na mawasiliano ulya kutosha, mume alikuwa msiri,pia inawezekana mume alikuwa mbabe hakutaka mke afanye lolote..lack of communication inaathiri ndoa nyingi na wala sio usomi mnaouzungumzia..