Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,841
Sina ndioKwa hiyo huna upeo??
Sina ndioKwa hiyo huna upeo??
Pambana hivyo hivyo nakuaminiaumesababisha niwekwe mtu kati we uko kando unawatch movie hahaha nimesalimu amri lol
Pambana hivyo hivyo nakuaminia
Kimbia tu kimya kimya angalia wasikuone hahahahha...hahahaha bunduki imeishiwa risasi kisa kufia vitani hahaha
Kimbia tu kimya kimya angalia wasikuone hahahahha...
hahhahahaa hatari siku nyingine usiingie kwenye nyumba mbovu hahahhaha, mwenye nyumba kakimbia wewe unaingia hahhaha
nimecheka sana
Mkuu BAK mimi namsifu sana marehemu maana ni mtu aliyeweza kufikiri kwa kina kwa muda mfupi maana ni wazi kama ali uwawa basi alikuwa ana fatiliwa masaa 24 na kila anapo kwenda na ni wazi wasinge taka kuacha ushahidi wowote utakao wafanya watiwe hatiani kirahisi, kama ange sema abaki nyumbani basi angekuwa amejitolea kufa yeye na familia yake ndiapo wange kutwa wote wamejinyonga na mkabaki na mshangao kama sasa....labda hao wauaji tayari walikuwa wanamfuatilia nyendo zake zote 24/7, hivyo kwenda kulala pekee yake kule hotel akawarahisishia kazi yao.
Ni kweli usemao,uncle wangu alikufa,mkewe hana taarifa,maiti ikawa amana hosp.mamkubwa alivyoenda kwa aunt kumwambia msiba,akamuulizia km mumewe anajua alipo,akajibu,toka juzi hajarud,akamuulza ni kawaida yake,aunt akasema hapana,wakaulizwa mlimtafuta wakakataa,ila walikuwa wana mgogoro,akaambiwa mmeo yupo Amana mochwari.
hii ni kama unaamini alijiua, vipi kwa wanaoamini aliuawa?
kuna sehemu hesabu zinakataa kabisa....... hata uwe mtaalamu wa kukokotoa kiasi gani....... Very bad
mazingira ya kuuwawa ni madogo kuliko ya kujiua. kama anajua anauwawa kwa nini hakwenda polisi maana angekuwa na ushahidi ndo maana alitaka awe alone ili atekeleze hayo mauaji pengine.
hapa tu inaonyesha ni jinsi gani hili sakata lilivyo siri kwa marehemu, unaona tunavyochanganyana?Marehemu aliuawa.....alipewa vitisho tangu alipotoka dodoma.....kulala kwake hotelini alifikiri anajificha na pia kuiokoa familia yake endapo lolote litatokea.....Hazina ,TRA, Vigogo katika Wizara ya fedha wanahusika.Kwangu mimi this is very simple investigation.
yaani inasikitisha sana...........labda hao wauaji tayari walikuwa wanamfuatilia nyendo zake zote 24/7, hivyo kwenda kulala pekee yake kule hotel akawarahisishia kazi yao.
yaani inasikitisha sana........
I wish angekuwa na mtu tungeona kama hao watu wangetimiza hiyo azma yao au wangeogopa ushahidi
tatizo media nao inatuchanganya sana. sijui kwa nini nimekuwa interested kufuatilia hii habari......Rafiki nchi yetu inatisha sana siku hizi, miaka ya nyuma mambo kama haya ya kuuana tulikuwa tunayasikia kwenye nchi za wenzetu lakini sasa hivi yanazidi kushamiri nchini na polisi wenyewe ndiyo hivyo tena wapo wapo tu.
tatizo media nao inatuchanganya sana. sijui kwa nini nimekuwa interested kufuatilia hii habari......
Ukisoma maelezo ya wanaohojiwa, including rafiki yake waliokuwa wanajua hili hakuna aliyetoa taarifa kabla ya kukumbwa na kifo....... kwa nini hawakufanya hivyo? inashangaza.
Ina maana waliamini sana kuwa pale hotel angekuwa salama kuliko nyumbani au kituo cha usalama?
walikuwa wanaogopa nini kutoa taarifa? walijua unyeti wa hilo sakata? yaani mimi ndo wanazidi kunichanganya
huwa naogopa sana kumsemea mtu......Ni kweli hii issue inachanganya sana, labda hilo la kutoa taarifa polisi walilifikiria lakini wakaishia kusema, "polisi wetu hapa nchini watafanya nini? Hawawezi kukupa ulinzi" labda mkewe na rafikiye watafunguka zaidi lakini kwa mambo ya polisi watakuwa wameshaambiwa wasiseme chochote kuhusiana na mauaji ya huyu jamaa ili kutovuruga upelelezi unaoendelea.