Hebu tushauriane kidogo

Hebu tushauriane kidogo

tutajiuliza mpaka tushae, hebu twende na hiyo ya mke aliyosema mume wake alimwambia kuna watu wanataka kumuua, atleast alisema hayo, hizo mambo za tai ni mbwembwe tu za wauaji.
ha haaaa, ndo raha ya kutangulia kwenye media....
watakaokuja kusema baadae tutawaona wazushi tupu
 
inawezekana mkewe hakua anajua zaidi ya alichoambiwa na mumewe (wanaume wengine hawasemi siri zao zote kwa wake zao)..kuna chombo cha habari asubuhi wamesema,mkewe alienda naye mpaka hotelini lakini marehemu alionekana kutaka kuwa peke yake hivyo mkewe akarudi nyumbani..
ni kweli mke alitakiwa kutoa taarifa polisi..japo polisi nao hawaaminiki sana
mimi mwenyew nimekuwa na maswali pia bila kuwa na majibu sahihi

ila nikawa na ile kauli ya kwamba ndoa/nyumba za watu kuna siri na ni vigumu sisi kujua
ndoa nyingi watu wana usiri wa kutoweka mambo bayana na pia kuna ile ya kutokuwa na mawasiliano mazuri

mwanamke ni msaidizi wake ina maana hajui siri za mumewe??hta kama hajui iweje mwache hotelin peke yake na kwenye kipindi kigum ambapo ndo anahitaj ulinzi na mtu wa kumfariji ...

je ina maana mkewe hakutambua hil???
hajajua mumewe anahitaji ulinzi hta kama sio wa polis bsi hta ndugu au yye mkewe alale nae pale hotelini
nimesoma gazet a mwananchi la leo naona utata tu kwa maana mwanamke hakujtoa kwa ajili ya kumlinda mumewe kwenye hiki kipindi
 
Kitisho cha mauaji hakina usomi, hasa utakapokuwa hujui atakayekuua ni nani polisi au jambazi!!! Hujui ukajihami wapi, kikubwa ni kuomba Mungu usikumbane nayo haya mambo!! Yasikie tu kwa wenzio

hakina usomi sawa lakini kidogo mwanamke alieenda shule anajiamini sio muoga so mnaweza kushauriana nini kifanyike kuepusha shari
 
inawezekana mkewe hakua anajua zaidi ya alichoambiwa na mumewe (wanaume wengine hawasemi siri zao zote kwa wake zao)..kuna chombo cha habari asubuhi wamesema,mkewe alienda naye mpaka hotelini lakini marehemu alionekana kutaka kuwa peke yake hivyo mkewe akarudi nyumbani..
ni kweli mke alitakiwa kutoa taarifa polisi..japo polisi nao hawaaminiki sana
Polisi hawaaminiki au wanaaminika, lakini mimi nimefanya nililopaswa kufanya......
kama wanavyosema, hao wauaji wanaweza wakawa ni high class, hata polisi wasingeweza kumlinda lakini kutimiza wajibu wako ni jambo jingine.
Kuna wengi wanaripoti hizi kesi polisi na still wanauawa, lakini angalau kunakuwa na ile "aliripoti polisi......", tunaona haisaidii lakini ina maana, hasa kwa hizi familia zetu
 
hakina usomi sawa lakini kidogo mwanamke alieenda shule anajiamini sio muoga so mnaweza kushauriana nini kifanyike kuepusha shari

Kwani elimu ya huyo mama ni level gani??
 
hakina usomi sawa lakini kidogo mwanamke alieenda shule anajiamini sio muoga so mnaweza kushauriana nini kifanyike kuepusha shari

huyu mwanamke mnamjua? mnajua hajasoma? mnajuajae kwamba hawakushauriana labda mwanaume akataka abaki mwenyewe hotelini? elimu imeingiaje kwenye hichi kifo cha utata hivi jamani mbona mie sielewi?
 
hawa ni polisi wa wapi? Tanzania hii? nilipo hawapatikani hao!

ni kweli hayo unayasema sisi tunajaribu tu kuangalia kilitakiwa kufanyika nini kabla mauti hayajamfika huyu baba, na haikuwa ni kutoa taarifa kwa police tu, haya ni mawzo yetu kwa kuwa tumepata muda wa kufikiria mfano huyu baba angeweka ulinzi nyumbami kwake kwa gharama zake binafsi au angeongozana na mkewe pamoja na rafiki zake wawili baada ya kuona jambo limekuwa serious, hapa tungejadili kwa namna tofauti.
nakubaliana na mchangiaji mmoja aliyesema huyu mtu alijua mchezo upoje ila hakumshirikisha mkewe ilivyopaswa na inaweza kuwa alikuwa na nia njema hakutaka mkewe apanic, awe na mawazo sana pengine hakujua issue ingekwenda fasta hivyo, labda baada ya siku hiyo alikuwa amekusudia kuweka mambo sawa na wenzake, na hata pengine aliona akisema kwa uwazi hakuna ambacho kingezuia kifo chake .
 
hata kama wangemuua basi kusingekuwa na maswali mengi toka kwa watu. wanasema kajiua na tai, wengine kauawa, which is which?
Mke angejua ukweli kama kajiua au kauawa
mimi kwakuangalia yale mabomba ya bafuni, nakuninginia kwa mtu mzima... ni ngumu sana kuamini hili....
 
hii ingekuwa ni best option, ila wakati mwingine muhusika anaweza asiliweke maanani sana sababu yeye ndo anajua in and out ya hilo sakata.

kweli kabisa tunavyojadili sisi kila mtu anaona bado huyu baba alikuwa na njia nyingi kuepuka kifo,
 
ni kweli hayo unayasema sisi tunajaribu tu kuangalia kilitakiwa kufanyika nini kabla mauti hayajamfika huyu baba, na haikuwa ni kutoa taarifa kwa police tu, haya ni mawzo yetu kwa kuwa tumepata muda wa kufikiria mfano huyu baba angeweka ulinzi nyumbami kwake kwa gharama zake binafsi au angeongozana na mkewe pamoja na rafiki zake wawili baada ya kuona jambo limekuwa serious, hapa tungejadili kwa namna tofauti.
umesema vizuri sana hapa
 
kama hao wauwaji ambao ni serious wanakufwatilia hawatajua kuwa leo hujalala home?
labda kama ni vibaka

Wanaweza kujua but ni ile hali ya kutapatapa kwa sababu hujui wapo wapi, hujui watakuja na silaha gani, unaweza ukawa unawaza watakuuaje, vipi kuhusu familia yako baada ya kifo chako!! Ni mambo ambayo yanaweza yakakufanya ukawaza vitu ukahisi umefika ukomo wa mawazo kumbe unawaza upumbavu, mfano unaweza kujishauri utalala bafuni ndiyo hawatafika?? Sasa hao penginewamejadiliana wakaona aende hotelini kumbe ndiyo anawarahisihia kazi.

Labda angetafuta wamasai na wamakonde kama ishirini hivi akawaweka nyumbani kwake wamlinde ila bado ni labda, labda
 
what if marehemu alimkataza mkewe asireport popote akiamini angeweza kutatua tatizo?
Polisi hawaaminiki au
wanaaminika, lakini mimi nimefanya nililopaswa kufanya......
kama wanavyosema, hao wauaji wanaweza wakawa ni high class, hata polisi
wasingeweza kumlinda lakini kutimiza wajibu wako ni jambo jingine.
Kuna wengi wanaripoti hizi kesi polisi na still wanauawa, lakini angalau
kunakuwa na ile "aliripoti polisi......", tunaona haisaidii lakini ina
maana, hasa kwa hizi familia zetu
 
kweli kabisa tunavyojadili sisi kila mtu anaona bado huyu baba alikuwa na njia nyingi kuepuka kifo,
inawezekana kabisa asingeepuka, lakini kungekuwa na uhakika kabisa kuwa kauawa na alishatoa taarifa polisi
 
unataka kunishawishi kuwa mke asiye msomi hawezi kukaa na mumewe wakashauriana? Kwani kiwango cha elimu kina uhusiano gani na hekima/busara mtu alizopewa na Mungu?

elimu inanoa maarifa u know waweza kuwa umepewa hekima changanya na shule kidogo ubongo huwa haulali inapotokea ishu tata kama hiyo
 
Back
Top Bottom