Hebu tushauriane kidogo

Hebu tushauriane kidogo

what if marehemu alimkataza mkewe asireport popote akiamini angeweza kutatua tatizo?
tunatofautiana sana.......
kama ningemkubalia nisiripoti basi nisingemkubalia akalale nje ya nyumbani maana ningeamini kuwa ni mambo yatakayosuluhishika.
 
unanionea.....
mimi nimeongea lolote kuhusu level ya elimu?
huyo mama mimi namjulia wapi?

hapo na mie nimeshangaa alieingiza elimu mwingine anaulizwa mwingine,watu wengine bwana, yaani kweli unasema angekuwa na elimu ingesaidia kwenye hili, huyu baba nadhani alikuwa na elimu mbona hakujisaidia? watu wawe wanaangalia na la kuongea, ovyooo kabisa,uchungu anaoupitia huyu mama anaujua mwenyewe kwa sasa!
 
tunatofautiana sana.......
kama ningemkubalia nisiripoti basi nisingemkubalia akalale nje ya nyumbani maana ningeamini kuwa ni mambo yatakayosuluhishika.

kuna waume wakorofi, wana maamuzi wanachosema wao ndicho hicho wanataka kitekelezwe.
 
hahaha came on madame tulijua labda wajua chochote kuhusu huyo mama
soma post yangu ya mwanzo.....
naongea kutokana na uzi ambao nimeusoma.....
na sijasema popote kama naijua hii familia, tunaongea tu sababu ni mambo ambayo yanatokea mara nyingi
 
huyu mwanamke mnamjua? mnajua hajasoma? mnajuajae kwamba hawakushauriana labda mwanaume akataka abaki mwenyewe hotelini? elimu imeingiaje kwenye hichi kifo cha utata hivi jamani mbona mie sielewi?

ilianzia kwa Vaislay kwa kukoment tuwe tunaoa wake wasomi wajua penye elimu lazima bongo ichemke kwa huyo mama hatujui chochote kuhusu yeye
 
Last edited by a moderator:
soma post yangu ya mwanzo.....
naongea kutokana na uzi ambao nimeusoma.....
na sijasema popote kama naijua hii familia, tunaongea tu sababu ni mambo ambayo yanatokea mara nyingi

nimekupata madame na hatujakunuu kwamba wajua chochote hii ni dhana
 
hapo na mie nimeshangaa alieingiza elimu mwingine anaulizwa mwingine,watu wengine bwana, yaani kweli unasema angekuwa na elimu ingesaidia kwenye hili, huyu baba nadhani alikuwa na elimu mbona hakujisaidia? watu wawe wanaangalia na la kuongea, ovyooo kabisa,uchungu anaoupitia huyu mama anaujua mwenyewe kwa sasa!
na kama angenisoma nilishasema kuwa hapa sijui kama elimu ina-hold, kinatotakiwa ni mawasiliano.
hakuna popote nilipotetea kuwa elimu ingesaidia sababu najua kabisa isingesaidia.
na kubwa zaidi tangu mwanzo nimesema maswali yangu yametokana na uzi nilioupitia, sijasema naijua stori, sasa sijui mimi naingiaje hapa
 
Hapa tutasema tu mara hivi mara vile ila kifo ndo kilivyo ni undefine huwezi jua labda walishauriana na mkewe ndo wakaona ndo best solution ila sie hatujui kipi chanzo hatuwezi kuelewa kabisa kwanini ilikuwa hivyo
 
hakina usomi sawa lakini kidogo mwanamke alieenda shule anajiamini sio muoga so mnaweza kushauriana nini kifanyike kuepusha shari

Kuna tukio natamani nilitoe hapa lakini nasita sita, ila we jua tu kwamba kifo hakina uhusiano na usomi!! Hasa mtu umpendae, muhimu kwako na pia inategema vitisho hivyo vimetokea saa ngapi yaani mmepata muda gani wa kujadili swala hilo.

Mfano, ni wewe msomi siyo!! Mumeo yupo kwenye vikao hivyo lets say vya Bunge Dodoma then saa sita usiku anakupigia simu kuwa yupo hotelini kesharudi kulala but amepata taarifa muda huo kuwa anataka kuuawa we upo Dar utafanya nini?? Au ungemshauri nini??
 
Hapa tutasema tu mara hivi mara vile ila kifo ndo kilivyo ni undefine huwezi jua labda walishauriana na mkewe ndo wakaona ndo best solution ila sie hatujui kipi chanzo hatuwezi kuelewa kabisa kwanini ilikuwa hivyo
ndio maana tunajadili, tungekuwa tunajua wala kusingekuwa na sababu ya mjadala.....
na hatujadili kwa ubaya, tunapeana mwanga tu, kama tunavyopeana kwenye mada nyingine
 
ukijiuliza na kupata tafakur iliyo sahihi kuna kitu nyuma ya pazia haiwezekani wife awe na dukuduku na taarifa za watu wabaya juu ya mumewe halafu akae kimya,alafu lingine upo karibu na nyumban alafu ulale hotel mi sielewi kabisa
 

na huyu mwanamke mwenzetu unaweza kuta na yeye sasa hivi yupo kwenye majuto, kwamba kwanini aliondoka pale hotelin, kwamba kwanini hata baadae katikati ya usiku sikwenda kumwangalia mume wangu anaendeleaje, au walipigiana simu kujuliana hali kabla ya tukio au ndio kila mmoja alijilalia? huyu mwanamke ana uchungu/majuto/masikitiko makubwa.
 
Hapa tutasema tu mara hivi mara vile ila kifo ndo kilivyo ni undefine huwezi jua labda walishauriana na mkewe ndo wakaona ndo best solution ila sie hatujui kipi chanzo hatuwezi kuelewa kabisa kwanini ilikuwa hivyo[/QUOTE]

kabisa.....wishing what you would have done is one thing ..being in those shoes,is another thing...
 
hapo na mie nimeshangaa alieingiza elimu mwingine anaulizwa mwingine,watu wengine bwana, yaani kweli unasema angekuwa na elimu ingesaidia kwenye hili, huyu baba nadhani alikuwa na elimu mbona hakujisaidia? watu wawe wanaangalia na la kuongea, ovyooo kabisa,uchungu anaoupitia huyu mama anaujua mwenyewe kwa sasa!
mbona umepaniki fixed pointi ni mtoa mada so sikujua kwamba hajui chochote nilidhani kwamba aweza kuwa na tetesi
na yeye mbona amejibu kwa uungwana haya wewe mtu wa watatu umepaniki kwa yapi ndugu yangu mpaka tuwe tunaangalia ya kuongea kila mtu na mawazo yake hatufanani kamwe kama kuna sehemu mtu hajaenda sawa anarekebishwa kiungwana
 
na huyu mwanamke mwenzetu unaweza kuta na yeye sasa hivi yupo kwenye majuto, kwamba kwanini aliondoka pale hotelin, kwamba kwanini hata baadae katikati ya usiku sikwenda kumwangalia mume wangu anaendeleaje, au walipigiana simu kujuliana hali kabla ya tukio au ndio kila mmoja alijilalia? huyu mwanamke ana uchungu/majuto/masikitiko makubwa.
kuna sehemu nilisema namwonea huruma sana, yaani najua yupo katika wakati mgumu sana.
Nakumbuka kuna siku mdogo wangu alifiwa na mtoto, pamoja na kwamba mtoto alifia hospitali akipata matibabu lakini alijilaumu sana kwa kile kifo cha mtoto...... labda ningempeleka hosp nyingine/ labda ningeenda siku tatu kabla...... labda...... nyiingi.
Ukweli anahitaji maombi tu ili awe katika hali nzuri
 
ilianzia kwa Vaislay kwa kukoment tuwe tunaoa wake wasomi wajua penye elimu lazima bongo ichemke kwa huyo mama hatujui chochote kuhusu yeye

unataka kuniambia wasomi woteee bongo zao zinachemka? sio hao baadhi ya wasomi, sijui wachumi wa daraja la kwanza wapo huko bungeni wanaishilia kuburuzwa tu? yanaishilia mipasho na maujinga yote? au usomi unaouzungumzia upeo wake unasaidia kuzuia majanga kama yaliyomfika huyu mwanamke mwenzetu?
 
Back
Top Bottom