miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kama i kweli kuna watu walikuwa wanataka kumuua yawezekana alikwepesha madhara kwenye familia yake...
Kumwamini Mungu ni jambo jema sana. alifanya vizuri sana kumwombea mumewe.Dada Fixed Point hii michezo ipo sana sana, kuna many dirty games going on everywhere..... Si mlaumu mkewe maana yeye alimwamini MUNGU na ndio maana baada ya pale alimwambia waombe kwa MUNGU awaepushie jambo hilo. Kuna watu wako nyuma ya huo mchezo wa hizo Billion 83 kosa lake inawezekana ni kwenda kinyume na wenzake, na kwenda kwake kinyume ina maana alisimamia ukweli, therefore the best option ilikua ni kumuondoa at any cost.
siri ni nzito sana. lakini mke anasema alijua kuwa mumewe anataka kuuawa, yaani mume alimwambia mkewe.
hilo la kulala hoteli ya karibu na home nayo ni siri nyingine.
Ndo maana nikajiuliza hata hicho kifo, kuna wanaosema kauawa na wanaosema kajiua..... yaani ni michanganyiko tu
hii ingekuwa ni best option, ila wakati mwingine muhusika anaweza asiliweke maanani sana sababu yeye ndo anajua in and out ya hilo sakata.vipi unamfahamu mke wa marehemu? labda tujue kiwango chake cha elimu! Huku kujua sana kumetufanya tukadumaa na kujipa moyo kwa sababu ya elimu unadhani unaweza kuwa sahihi katika mambo yote si kweli hata kidogo!!! kuna vingi vya kuangalia ktk hili jambo, wewe mojakwamoja unaona kifo hiki kimesababishwa na mkewe kutokumshauri vizuri.
Hapa issue ilikuwa makubaliano na mawasiliano marehemu alikuwa msomi na alifahamu haki zake za msingi, kama aliona mashaka na kwa uwezo aliokuwa nao basi angeweza kutoa taarifa polisi na akapata ulinzi wa kutosha.
nakubaliana nawe rafiki.....mke aliambiwa hicho kipengele tu, hajui nani na kwa sababu gani walitaka kufanya hivyo,hakuambiwa mengineyo, na mhusika ndio anajua kwanini hakuweka mambo hadharani, labda mke angeshtuka/changanyikiwa nae aanze kuropoka alichoambiwa na ni kitu kizito kingemletea matatizo makubwa!
si kweli mkuu. ..msomi atleast anakuwa na uelewa wa mambo yanavyoenda duniani..naongea hili with experience
kama i kweli kuna watu walikuwa wanataka kumuua yawezekana alikwepesha madhara kwenye familia yake...
haya pia yanawezekana, kujitoa muhanga kwa ajili ya familiamaswali ni mengi inawezekana walimtisha wataangamiza familia nzima akaona ajitoe tu muhanga akafe mwenyewe hotelini.
.
mi nadhani hili halina cha usomi wala nini.....Toa yako nikupe yangu, umeshawahi kuona au kupata japo story tu ya familia iliyokutana na haya mambo na wote humo ndani ni wasomi?? Walifanya nini?? Sio hasa swala la kufuatiliwa na usalama wa taifa au polisi, mwanaume menyewe huwa anaishia kulia itakuwa mwanamke?? Hakuna uelewa kwenye kifo ndugu yangu ndiyo maana nakwambia omba Mungu tu haya mambo yasitokee kwenye familia yako
tunajiuliza mengi sana na kujijibu na hakika hatutapata majibu ya kweli ya hayo maswali, sad!Na mimi pia nilijiuliza maswali mengi na ya kwako yakiwemo, Nilifikiri hivi! Huenda kitendo chake cha kukaa Hotelini alihitaji faragha, lakini pia ninafikiri huenda kuna watu alitazamia kukutana nao mara baada ya kurudi kutoka Dodoma, inawezekana kuna watu walitaka kupata taarifa hivyo ili akutane nao alihitaji faragha na pia mazingira ambayo yatamuweka mbali na mke na familia.
nakubaliana nawe rafiki.....
kuna sehemu nimeandika hivyo.... ingawa mimi na wewe hatujui kama aliambiwa au hakuambiwa zaidi ya hilo.
Kwa sasa mke ana majonzi sana, ni ngumu sana kuanza kuongea na mtu vitu vya ndani, let alone mwandishi wa habari. alichokifanya kwa sasa ni kusema kuwa alikuwa aware na mauaji ya mumewe..... na nani? kivipi? kwa nini? labda akihojiwa na polisi anaweza kusema.
Namwonea huruma sasa mama mwenzangu. Naamini Mungu atampitisha salama katika hili
ndo maana mimi nikasema ningemweka chini ya ulinzi watu hawaamini.
yaani hata job ningempeleka na kwenda kumfwata. akiwa job najua yupo na watu wengine......
hapa ambacho ningehakikisha tu ni asiwe peke yake
hilo nalo ni janga jingine...... polisi wetu bwana!ningekuwa mie hapo ingekuwa ndio mahali pa mwisho kupafikiria kusema nao lolote, ningewasikiliza wao wanakuja na lipi la kusema, unafikiri mpaka sasa baadhi ya polisi hawajui ukweli wa hili jambo? mume harudi hao watampa stress tu mama wa watu.
ukinisoma vizuri nimesema kabisa kuwa nisingezuia azma ya wauaji....... labda tu ningepunguza maswali mengine kichwani kwangu in case wauaji wataniacha haikama kauawa..na kama ilikua lazima auawe,unadhani wewe peke yako ungeweza kumlinda?
wauaji wana mengi..wangeweza kumuacha kwa muda ama wangewaua wote wawili..azma ikiwa ni kumuua mmoja,if u get in their way,nawe waweza uawa vilevile
vipi unamfahamu mke wa marehemu? labda tujue kiwango chake cha elimu! Huku kujua sana kumetufanya tukadumaa na kujipa moyo kwa sababu ya elimu unadhani unaweza kuwa sahihi katika mambo yote si kweli hata kidogo!!! kuna vingi vya kuangalia ktk hili jambo, wewe mojakwamoja unaona kifo hiki kimesababishwa na mkewe kutokumshauri vizuri.
Hapa issue ilikuwa makubaliano na mawasiliano marehemu alikuwa msomi na alifahamu haki zake za msingi, kama aliona mashaka na kwa uwezo aliokuwa nao basi angeweza kutoa taarifa polisi na akapata ulinzi wa kutosha.
ukinisoma vizuri nimesema kabisa kuwa nisingezuia azma ya wauaji....... labda tu ningepunguza maswali mengine kichwani kwangu in case wauaji wataniacha hai
yaani rafiki ni hatari......hapo ndio ninapoona labda baba aliamua abaki mwenyewe, akijua madhara ya hiyo ishu, wangekutwa wawili humo ndani kuna uwezekano mkubwa wote wangemalizwa, imagine hapo mama angebaki, familia jamani, ukute watoto bado wadogo!
yaani rafiki ni hatari......
lakini hapa tunajiaminisha kuwa baba aliuawa...... je ile stori ya kusema alijiua kama ni kweli, hatuoni kuwepo naye kungeweza kusaidia asijiue? naendelea tu kujiuliza
yaani mdogo wangu imeniuma sana. kweli mawasiliano ndani ya nyumba ni muhimu sana kuliko chochote.
Ni vizuri wanandoa kujiweka kwenye mazingira ya kutoshindwa kumwambia mwenzako chochote, hata kama ni cha kipuuzi.