baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,862
Yaani unataka kusema nilidownload hizo picha? Haya niko hapa nasubiri sourcehahah asa mkuu naona umeamua kutuumbua wote mie na mleta mada.unajua wengi wanasahau picha wanazoweka humu zinakuja na tag,na hawajui picha ya kupiga na kamera ya simu yako tag yake ni tafauti na picha uliyodownload,ama kuscreenshot.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe sina uhakika ila kuna waliotuma screenshot humuYaani unataka kusema nilidownload hizo picha? Haya niko hapa nasubiri source
Duh!!!ase Wakuu mnawezaje kutunza had vinywaji ?
yan mimi nikiweka hata soda mbili tu usiku sipati usingizi nabaki kulizunguka friji
Roho inanambia "my bro stop cheating your self kunywa izo soda ulale""
Saiv friji limebaki la kuwekea makabichi tu
Dah...sasa ningeweka nini? Sina kitu zaidi ya hicho...Labda niweke kandambiliNinachukia kuweka ndizi frijini
Harufu yake ni turn off
Dah....
Hajaweka au unasubiri aweke lenu?Hizi picha za friji kama hua unamficha mkeo/mumeo ID yako basi ni rahisi sana kukujua kwa kupitia hizo picha kama nae ni member wa humu na anaiona hii thread!
Sijaweka mkuu.Hajaweka au unasubiri aweke lenu?
mkuu hujambo?Sina mkuu...hili ni la jirani.
USA BabyHapa ntrudi.
Ngoja nifike nyumbani kwanza....
Can’t wait to show off my stainless steel appliances.
Get the strap baby!!!
Nimelielewa hili friji aisee liko real sana , ila Pepsi wakikukuta umeweka manyanyachungu na hoho lazima wakupokonye friji lao mkuu