Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Hapo kwenye Water Melon nashauri uwe unaliweka kwenye mfuko wa nailoni ili lisiharibike kuna mifuko flani hivi ya nailon transparent maranyingi wanatumiaga kufunikia matunda. humo ukiliweka lina kaa hata siku 2--3 likiwa na utamu ;):p wake og. mimi huwa nafanya hivi.. sema naona simu imegoma kupiga picha Friji langu teh teh
Asante sana
 
dah......
empty-fridge.jpg
 
Hapo kwenye Water Melon nashauri uwe unaliweka kwenye mfuko wa nailoni ili lisiharibike kuna mifuko flani hivi ya nailon transparent maranyingi wanatumiaga kufunikia matunda. humo ukiliweka lina kaa hata siku 2--3 likiwa na utamu ;):p wake og. mimi huwa nafanya hivi.. sema naona simu imegoma kupiga picha Friji langu teh teh
hyo mifuko iko tofaut na hii tunayotumia mtaani?,,mm nmuhanga huwa nikiweka matunda kwny kafriji yanalojoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap mkuu ukikosa mfuko kama huu weka hata kwenye mfuko mkubwa na ulifunge vema, mantiki hapa ni kuzuia hewa isiingie japo kwa kiwango fulani. ukienda kariakoo/soko dogo {lile la nje} kwa pembeni kuna maduka ya vifaa vya ndani mbali mbali maranyingi wanaouza ni waarabu au wahindi hapo ulizia mifuko ya kuhifadhia matunda watakupa.. yaani iko poa sana na hata ukimaliza kutumia hutupi unauosha na kuuanika kwa ajili ya matumizi ya wakati mwingine...
 
Naikijua sana hicho kinywaji, mi nilimuuliza kwa mtego tu ndio maana nilimtag yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
hahah asa mkuu naona umeamua kutuumbua wote mie na mleta mada.unajua wengi wanasahau picha wanazoweka humu zinakuja na tag,na hawajui picha ya kupiga na kamera ya simu yako tag yake ni tafauti na picha uliyodownload,ama kuscreenshot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap mkuu ukikosa mfuko kama huu weka hata kwenye mfuko mkubwa na ulifunge vema, mantiki hapa ni kuzuia hewa isiingie japo kwa kiwango fulani. ukienda kariakoo/soko dogo {lile la nje} kwa pembeni kuna maduka ya vifaa vya ndani mbali mbali maranyingi wanaouza ni waarabu au wahindi hapo ulizia mifuko ya kuhifadhia matunda watakupa.. yaani iko poa sana na hata ukimaliza kutumia hutupi unauosha na kuuanika kwa ajili ya matumizi ya wakati mwingine...
ahsante sana mkuu nliteseka kwa mda mrefu,,isitoshe me ni bachela vitu vikiwa ving kwenye friji simaliz kwa wakat vinaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom