Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

hahah asa mkuu naona umeamua kutuumbua wote mie na mleta mada.unajua wengi wanasahau picha wanazoweka humu zinakuja na tag,na hawajui picha ya kupiga na kamera ya simu yako tag yake ni tafauti na picha uliyodownload,ama kuscreenshot.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unataka kusema nilidownload hizo picha? Haya niko hapa nasubiri source
 
dah......
empty-fridge.jpg
Kweli rohombaya...hadi friji unaifanyia rohombaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengine wanaweka maji tu dadek..... kila unapoenda kumtembelea friji ina maji, tena ya kudownload yenye chumvi ka dawa ya kuharisha.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom