Mtaani kwetu kote mafriji hayawaki kwasababu ya umeme ni mdogo sana

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Mtaani hapa friji nyingi hazifanyi kazi umeme ni mdogo sana

Radio na runinga zinafanya kazi ila taa haziwaki

Nashindwa kuelewa kwanini umeme umekuwa mdogo hivi huu wa tanesco

Na suluhisho ya hiri ninini kwa umeme mdogo kwa friji nini naweza kufanya ili umeme mdogo uweze kusukuma friji maana nina kafriji kadogo tu hapa
 
Nashindwa kuerewa kwanin umeme umekua mdogo hivi huu wa tanesco

Kuna uwezekano transformer/line inayowahudumia imezidiwa...

Kuna watu wameanzisha viwanda vidogo vidogo huko?

Kwa sasa unachoweza kufanya ni kuwa stabilizer kubwa kulingana na uwezo wa matumizi yako...
 
Kuna uwezekano transformer/line inayowahudumia imezidiwa...

Kuna watu wameanzisha viwanda vidogo vidogo huko?

Kwa sasa unachoweza kufanya ni kuwa stabilizer kubwa kulingana na uwezo wa matumizi yako...
Hamna viwanda wala nini ndugu yangu huku ni makaz tu ya watu
 
Maafisa wa tanesco wamo humu,wamekusoma mkuu, ILA kwangu kukikatika umeme bila ya taarifa maalum kutoka tanesco, sitokuja kulalama humu,nitakwenda straight kumwona tanesco branch manager na kumpa malalamiko yangu
 
Watanganyika tunataka umeme yy anakata JIKEKI la birthday party yake. Huku taifa likiwa na shida ya sukari kilo moja 4500.
 
Usiwe unazima friji kabisa umeme ukiwepo. Hata umeme ukiwa mdogo litafanya kazi maana halitahitaji umeme mwingi kujiendesha.
 
Watanganyika tunataka umeme yy anakata JIKEKI la birthday party yake. Huku taifa likiwa na shida ya sukari kilo moja 4500.
Si mlipenda wenyewe kuimba.... 🎶CCM mbele kwa mbele... Hatujinyongi 🎹🎶

Kazi kwenu 😂😂
 
Back
Top Bottom