Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Nimeona Jameson hapo.. Whiskey na friji wapi na wapi? Unaiharibu ladha kabisa
 
ahsante sana mkuu nliteseka kwa mda mrefu,,isitoshe me ni bachela vitu vikiwa ving kwenye friji simaliz kwa wakat vinaharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna hizo ziko alibaba wanauza dola moja
High-Grade-Safe-Reusable-Silicone-Food-Storage.jpg_640x640%20(1).jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye Water Melon nashauri uwe unaliweka kwenye mfuko wa nailoni ili lisiharibike kuna mifuko flani hivi ya nailon transparent maranyingi wanatumiaga kufunikia matunda. humo ukiliweka lina kaa hata siku 2--3 likiwa na utamu ;):p wake og. mimi huwa nafanya hivi.. sema naona simu imegoma kupiga picha Friji langu teh teh
Ulijaribu ila kamera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom