Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.