Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
View attachment 3504071

B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072

C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Tanganyika imejificha ndani ya serikali ya TZ.
Waziri wa Tanganyika aliyebeba jina la waziri wa Tanzania but kwa Zanzibar sio waziri.🥺🥺
Aibu sana
 
Naunga mkono hoja.

Rais ndio mwenyekiti wa chama, chama kinaisimamia serikali? kiongozi mkuu wa serikali ni Rais??? Make it make sense!
 
Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
View attachment 3504071

B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072

C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Akili yako ni fupi kama kinyesi cha mwisho. Jipange namna ya kuandika hoja
 
Alichokitaka yeye ni kuwa Rais wa JMT tu.Alikuwa na uchu wa madaraka yule Baba.
Nyerere alikuwa tayari East Afrika iungane na Urais achukue Kenyatta (An Elder among the then Presidents sasa hapo utasema ni Uchu wa Madaraka)?

Tatizo watu mnaangalia vitu kwa perception ya leo na sio ya wakati huo na wakati huo PAN AFRICANISM was the thing; huwezi kutaka kuunganisha Afrika nzima wakati hata nyie tu na majirani zenu ni kama maadui
Alitaka miungano huku yeye akiimpose ndo awe Rais.Kenya walimtolea nje.
Nope alikuwa tayari kumuachia madaraka Kenyatta ; Na kipindi hicho was more favorable sio East Afrika tu bali Afrika nzima kuungana achana na sasa hivi Mabeberu wa kufikirika kipindi hicho kulikuwa na Mabeberu wa kweli na Marginalization ; Sasa hivi kuna Soft Colonialism ( Imperialism) kipindi kile ilikuwa nje nje (waulize kina Sankara, Lumumba n.k.); Kwahio walijua kabisa bila kuungana tutaendelea (tumeendelea kama tulivyo leo; puppets wa west)

Alichokitaka yeye ni kuwa Rais wa JMT tu.Alikuwa na uchu wa madaraka yule Baba.Alitaka miungano huku yeye akiimpose ndo awe Rais.Kenya walimtolea nje.
Sio kweli
Alikuwa tayari aahirishe uhuru wa Tanganyika wapate pamoja na kenya na Uganda.Halafu raisi Jomo Kenyata awe ndio raisi wa Africa Mashariki.Yeye na Obote wawe Magavana wa nchi zao.Bahati mbaya njia za kupigania uhuru Kenya na Tanzania zilikuwa tofauti sana.Kenya walimwaga damu mno kupita MAU MAU wazungu walichinjwa mno ma settler na waafica kama kina Dedan Kimathi kunyongwa.

Zaidi ya yote Jomo Kenyata naweza kusema alikuwa mbinafsi sana na mtata japo alikuwa hajawa raisi bado hakukubaliana na wazo hilo
 
Sijui darqsa la ngapi ndo wanafundisha kuwa Mwl na Waasisi wenzie walikubaliana kuungania mataifa yote na kuwa kama USA...
Ila yeye alipendekeza kuwa nchi za karibu zianze kuungana. Wakakubaliana. Sasa kosa lake ni lipi?

Nafikiri shida ni namna Muungano ulivyo.. yaani watu wanaoana ila mmoja anaendelea kuwa na familia yake

Yaani ukiweza kuuelewa Huu muungano basi utaweza kuulezea maisha ya kijana alieoa single maza
 
Sio kweli
Alikuwa tayari aahirishe uhuru wa Tanganyika wapate pamoja na kenya na Uganda.Halafu raisi Jomo Kenyata awe ndio raisi wa Africa Mashariki.Yeye na Obote wawe Magavana wa nchi zao.Bahati mbaya njia za kupigania uhuru Kenya na Tanzania zilikuwa tofauti sana.Kenya walimwaga damu mno kupita MAU MAU wazungu walichinjwa mno ma settler na waafica kama kina Dedan Kimathi kunyongwa.

Zaidi ya yote Jomo Kenyata naweza kusema alikuwa mbinafsi sana na mtata japo alikuwa hajawa raisi bado hakukubaliana na wazo hilo
Aliona mbali sana sera za nyerere ziliengemea kwenye kulinda madaraka yake tu
 
Sio kweli..

Mkiamua hata kwa usiku mmoja mnaweza kuweka sawa ....hamtaki tu.
Ningemuelewa mtoa mada kama angemlaumu JK ambaye alitumia Tsh 400 Billion kwenye tume ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba, na akaondoka madarakani bila kutupa Katiba. Lakini kumlaumu Nyerere ambaye aliiheshimu Katiba hiyo mbovu ni kufilisika kimawazo
 
Back
Top Bottom