Hatuwezi laumu shina wakati ilianza miziziNingemuelewa mtoa mada kama angemlaumu JK ambaye alitumia Tsh 400 kwenye tume ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba, na akaondoka madarakani bila kutupa Katiba. Lakini kumlaumu Nyerere ambaye aliiheshimu Katiba hiyo mbovu ni kufilisika kimawazo
Utalaaniwa...hahahaMtakatifu nyerere utuombee
Ujamaa ndivyo ulivyoAliona mbali sana sera za nyerere ziliengemea kwenye kulinda madaraka yake tu
Ndo katufikisha hapa tulipo hivi leoNaunga mkono hoja, mtu gani anajitungia na kurekebisha Katiba ambayo inamlinda kujineemesha zaidi ku enjoy madaraka…. Huyu mzee alikuwa wa hovyo kabisa
Katika ya Tanzania kipindi Cha Nyerere ilikuwaje ni kitu Cha kuangalia sana.Hatuwezi laumu shina wakati ilianza mizizi
Kipindi chake kilikukuwa kibovu maana ndio chawa wake msekwa aloandika katiba hii ya hovyoKatika ya Tanzania kipindi Cha Nyerere ilikuwaje ni kitu Cha kuangalia sana.
Ni muhimu ni aina tofauti na sasa
Malaria huanza n homa ndogondogoKufa kwa mbogamboga ni jambo la muda mfupi tu.
Ebu kuwa na adabuAlikuwa na matatizo ya akili
Baba wa taifa gani wakati alitultea ugonjwa na ukupe uitwao muungano tenakwamaslahibinafsi?Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
View attachment 3504071
B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072
C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Yaani Mtoto(teenager) ana changanya ubwabwa wake na mtoto wa miaka 2.Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Mmetoka kwenye udini mmeshaanza kutumwa kumbananga Baba wa taifa? Akili zako zimekutuma Mwl alikuwa anaongoza zero brains? Anyway pole yako. Kuhusu Mwl waulize Babu zako, muulize mu7, muulize kagame, muulize samora machel, muulize JK, waulize na wengine wengi, wakishakujibu alikuwa mtu wa aina gani urudi hapa kutuletea jibu.Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.
Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.
Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.
Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.
Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?
Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.
Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.
Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.
View attachment 3504071
B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072
C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Shida ilianza Tangu nyuma huko.Kipindi chake kilikukuwa kibovu maana ndio chawa wake msekwa aloandika katiba hii ya hovyo
Inategemeana Nyerere legency kuondoka kwa hapa nchini inawezekana, inategemeana na CCM mwenendo wao na nchi Nini watafanya na mwisho wao.Hiyo imeandikwa, hakuna kufuta, imetoka hiyo. Ni baba wa taifa forever
Ishu ni kwamba Tanganyika haifaidiki na muungano.Yaani Mtoto(teenager) ana changanya ubwabwa wake na mtoto wa miaka 2.
Halafu unalalamika kuwa anapunjwa?.
Tangayika inatumia katiba yake kuendesha Tanzania, Katiba ya Tanzania(muungano) ipo juu kuliko katiba yake Zanzibar.
Tanganyika inachukuwa 95.5% ya mikopo ya nje na Zanzibar inapewa 4.5%. Hapa mtoto yupi anae mpunja mwenziwe?.
Nyerere alikuwa mjanja mjanja tu eti kaifanya Tanzania yote kuongea Kiswahili kwani Watanzania walikuwa wanaongea lugha ipi kabla yake?. Au akifanya kampeni za siasa akiwa Tanu wakati wa ukoloni Watanzania wakiongea lugha ipi?.