Hayati Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa

Bado unamlaumu Nyerere ambaye katika miaka 64 ya Uhuru alitawala miaka 24 tu. Walaumu watawala waliofuata kwa miaka 40, wamefanya nini kubadili sera zake
Mbona walishabadili sera zake mfano ujamaa,mambo ya azimio la Arusha na kwamba mtu haruhusiwi kupokea mishahara miwili,soko huria,njia kuu za uchumi kumilikiwa na umma.
Ambacho tu waliofuatia walishindwa kubadili hadi leo ni katiba na wanaogopa maana kibano kitawageukia.
 
Yaani bado mnamlaumu mtu kafa zaidi ya miaka 20 kwa hiyo mmeishiwa kabisa mbinu za kuweza kurekebisha hilo tatizo!?...haya mkimpoka hiyo hadhi ya baba wa taifa what's next?
 
Niliwaza kama wewe but nikaona kweli nyerere alibugh sana ukichunguza muungano but napata tabu pindi anapoingia rais mkristo halafu anashindwa kurekebisha kero za huu muungano kwa katiba mpya ??!!yaani ukichunguza huyu mama amekaa kidogo tu karekebisha kero za zenji chap,na rais wa bara hajui siku moja atawekewa hata sumu na makamo kutoka zenji ili tena ijirudie tukio kama hili??!cha msingi ni marekebisho na katiba mpya na muungao uwe serikal tatu kila mtu apambane na upande wake hakuna kushare hata mjumbe wa nyumba kumi kila mtu acheze kwake
 
Tatizo aliloliacha nikubwa moja ya jaribio lililofanyika kurekebisha tatizo limeondoka na uhai wa zaidi ya watanganyika 13000
 
Niliwaza kama wewe but nikaona kweli nyerere alibugh sana ukichunguza muungano but napata tabu pindi anapoingia rais mkristo halafu anashindwa kurekebisha kero za huu muungano kwa katiba mpya ??!!yaani ukichunguza huyu mama amekaa kidogo tu karekebisha kero za zenji chap,na rais wa bara hajui siku moja atawekewa hata sumu na makamo kutoka zenji ili tena ijirudie tukio kama hili??!cha msingi ni marekebisho na katiba mpya na muungao uwe serikal tatu kila mtu apambane na upande wake hakuna kushare hata mjumbe wa nyumba kumi kila mtu acheze kwake
Wewe kama ni mwanaume ukishindwa kumto-mba mkeo bado utamlaumu Nyerere. Kizazi cha HOVYO
 
Kwa akili uharo hizi
Baada ya Mwalimu, nchi imeongozwa na marais 5 mpaka sasa lakini kilio kwa mwalimu. Machawa mpigieni kelele samuya avunje miungano
 
Alichokitaka yeye ni kuwa Rais wa JMT tu.Alikuwa na uchu wa madaraka yule Baba.Alitaka miungano huku yeye akiimpose ndo awe Rais.Kenya walimtolea nje.
Sababu kubwa ilikuwa ni hofu ya vita. Wakati nyerere anachukua nchi hakuwa na jeshi wala nini pia kulikuwa na vugu vugu la vita ya tatu ya dunia. (Cold war kati ya ussr na nato) hivyo aliamin angeweza kupigwa na waarabu maana walifanya zanzibar kama sehemu ya uarabuni. Hivyo alihofia sana waarabu wanaweza kuja mda wowote ule coz of that situation. Na
 
Sababu za muungano zilikuwa za kibinafsi zaidi.
 
Nyerere ametoka madarakani since 1984 almost miaka 40 je mnashindwa vipi kusonga mbele ?.
 
Mimi huwa sipindishi maneno.
Yeyote yule akizingua nambadilikia.

Kwa ufupi Mimi sio muumini wa kudumu wa chama au kiongozi yeyote awe wa upinzani au wa chama Tawala.

Haya yote mnayoyaona kuwa hayako sawa ni matokeo ya utawala wa Mw. Nyerere.

Alikuwa hana uwezo wa kuona mbali, kwakuwa alitawala zama za ujinga na wajinga wakamwona kama nabii kumbe hamna kitu.
Nitoe mfano mmoja tu.

Unaunganishaje nchi yako Tanganyika na nchi nyingine Zanzibar kisha kuipoteza nchi yako ilhali mwenzako anayo nchi yake ikiwa safi kabisa?

Hata mwanangu Praise wa Darasa la pili hawezi kukubali kuchukua sahani yake ya ubwabwa kisha kuutia kwenye sahani nyingine na kumwambia mwenzake ambaye sahani yake iko na ubwabwa umejaa njoo tule, weka sahani yako pembeni utakula kwa wakati wako tule kwanza huu ubwabwa wetu.

Nitaweka picha kuelezea tukio hili la kijinga.

Nyerere avuliwe hadhi ya Baba wa Taifa na familia yake iondolewe baadhhi ya stahiki iwe fundisho kwa viongozi waliopo wajue kuwa kuna maisha baada ya uongozi.
A. Peter yuko na sahani yake ya ubwabwa.

View attachment 3504071

B. Juma yuko na sahani yake ya ubwabwa ametulia.
View attachment 3504072

C. Peter anakwenda kumshawishi Juma wachanganye ubwabwa wao. Peter anachanganyikiwa anamwaambia Juma ubwabwa wangu uwe wetu sote. Juma kakubali.
View attachment 3504073
D. Juma bado sahani yake ya ubwabwa ameikimbatia huku akiendelea kula vinono vya Peter.
View attachment 3504075
Lunch time.....hizo plate zimesababisha njaa iongezeke
 
Leo umeandika ukweli mtupu.
Hakika Nyerere ni adui nambari Moja wa Tanganyika.

Yeye ni Malaya.
Ni kichwa maji.
 
Ile isiwe nchi, ziwe hata kata mbili, pemba na unguja katika mkoa wa dar es salaam, nyerere alifeli kweli, akaona hata usiwe mkoa iwe nchi🤔
Kama kweli mchakato wa katiba mpya unarudi basi hili liangaliwe upyaa. Ni either serikali moja, serikali 3 au kila mtu asepe kivyake tukutane EAC au SADC.
 
Alooo!! Kichaa kimeanza kupona mjomba 😹😹

Watanzania na unafki haviwezi kuachana ni mapacha..!!
 
Back
Top Bottom