Haya ni Mapya Nyuma ya Msiba wa Membe

Haya ni Mapya Nyuma ya Msiba wa Membe

Hivi ni lini tumewasikiliza kwa vinywa vyao wakikiri au kukanusha kumuombea Musiba msamaha kwa Membe? Namaanisha Malasusa na Pengo.
 
Niliwahi kumtembelea rafiki yangu kijijini buyagu sengerema zamani miaka ya 90's Sasa kilikuwa na shindano la ngoma haponkijijini,malenga mmoja akawa anaimba " bakutorokaga moja! moja!ee moja! moja !ee" yaani wanaendelea kutoroka mmoja mmoja! Wote walioshangilia kifo Cha shujaa wetu JPM nao wameanza kutoroka mmoja mmoja, Sasa hivi ngurumo anaweweseka,bilashaka kitabu CHAKE Cha kumchafua magufuli alifadhiliwa na mzee bernad membe,tumeanza kupata connect dotes,lakini mwanadamu awaye yote ambaye pua zake zinaangalia chini hakika umauti ni halali yake.ngurumo tulia dawa ikuingie,kabisa hakuna mwenye hati miliki wa hii oksijeni ya mwenyezi mungu
 
Umemsikiliza vizuri? Yote hayo kayasema kwamba binadamu wote tutakufa ila kuna vifo vingine anasababisha yeye mwenyewe mwnadamu au anasababishiwa ,akatolea mfano Muandishi Josephat Isango alifariki watu wengi wanajua ni kifo cha kawaida tu kumbe ni kwamba alipuliziwa Sumu ikaenda kuharibu mapafu.....The same inavyoonekana kwa Membe.
Jasusi bobevu lipuliziwe sumu? 😳😳
 
Endelea kujifariji ,kumbe ujumbe wa Zitto uliwauma sana naona kila mtu unamwambia ili mradi uone kama unalipiza ,mimi sijawahi kuwa mfuasi wa Membe.
Kuna matatizo makubwa sana katika kujadili hoja siku hizi.
Hoja ya msingi yaweza isijadiliwe kukaanza mashambulizi binafsi kutokana na hisia juu ya mtu huyo.
Mie nilidhani watu wangepuuza mengine wakajihoji kuhusu issues zifuatazo hapo;
1. Imekuwaje kampuni ya udalali ya YONO kunyang'anywa leseni kabla haijatekeleza hukumu? Nani yuko nyuma ya hili?
2. Jee kuna ukweli wa fedha nyingi kukutwa a/c ya Dr Bashiru Kakulu na kuwa frozen? Kwa nini ziwe frozen? Kazitoa wapi na alishirikiana na nani kwenye wizi huo kama ni wizi? Una freeze fedha za mwizi halafu unamuacha kwenye utumishi wa umma?
3. Jee hayo mapesa na mali kuna uhusiano gani na yale ya BOT ambayo Rais aliagiza uchunguzi tena kwa kuunda tume lakini hakuna taarifa iliyotoka wazi bali imeacha tetesi zinazo mhusisha pia mtu mwenye nafasi nyeti sasa alipokuwa wizara ya Hazina.
4. Jee kweli hilo kundi alilosema bado lipo kumbe? Usalama wa viongozi wetu ukoje kama wanaweza kufanya lolote?
Ndiyo ya kujiuliza na kujadili kwa upendo sio kuendekeza chuki na visasi na kuwaacha wachache wanafaidi matunda ya nchi huku wakisoma JF na kutucheka tuu
 
Mbona ni porojo tu, mi nae nikija na tuhuma kwamba aliowataja wote wamekufa na alikuwa karibu yao na walimweleza yeye peke yake kuhusu maradhi yao ya siri (ambayo hakuna mwingine alifahamu ila yeye tu) basi kuna namna anashiriki kuwaua kisha anakuja na porojo za kuziba ushahidi.
 
Kuna matatizo makubwa sana katika kujadili hoja siku hizi.
Hoja ya msingi yaweza isijadiliwe kukaanza mashambulizi binafsi kutokana na hisia juu ya mtu huyo.
Mie nilidhani watu wangepuuza mengine wakajihoji kuhusu issues zifuatazo hapo;
1. Imekuwaje kampuni ya udalali ya YONO kunyang'anywa leseni kabla haijatekeleza hukumu? Nani yuko nyuma ya hili?
2. Jee kuna ukweli wa fedha nyingi kukutwa a/c ya Dr Bashiru Kakulu na kuwa frozen? Kwa nini ziwe frozen? Kazitoa wapi na alishirikiana na nani kwenye wizi huo kama ni wizi? Una freeze fedha za mwizi halafu unamuacha kwenye utumishi wa umma?
3. Jee hayo mapesa na mali kuna uhusiano gani na yale ya BOT ambayo Rais aliagiza uchunguzi tena kwa kuunda tume lakini hakuna taarifa iliyotoka wazi bali imeacha tetesi zinazo mhusisha pia mtu mwenye nafasi nyeti sasa alipokuwa wizara ya Hazina.
4. Jee kweli hilo kundi alilosema bado lipo kumbe? Usalama wa viongozi wetu ukoje kama wanaweza kufanya lolote?
Ndiyo ya kujiuliza na kujadili kwa upendo sio kuendekeza chuki na visasi na kuwaacha wachache wanafaidi matunda ya nchi huku wakisoma JF na kutucheka tuu
Msingi wa hoja zake ameujenga kwa mashambulizi ya mtu binafsi tena kwa kumuita "Muhuni" atajibiwa accordingly.
Tulie Upewe Undani cha nini kilitokea Kutoka kwa Ansbert Ngurumo.
Kazikwe nae.
 
Msingi wa hoja zake ameujenga kwa mashambulizi ya mtu binafsi tena kwa kumuita "Muhuni" na mwelekeo wa yote ndio muhusika wa kifo cha swaiba wake. Hivyo kwenye kujibu hoja lazima shambulizi binafsi lianze kabla ya kujibu hoja za tuhuma.
Lakini sio kweli kuwa Musiba ni muhuni?
Tuachane na hukumu au kigo cha Membe, katika hali ya kawaida sio muhuni?
 
Jibu ni subjective inategemea upo upande gani...ni pro Msoga (Membe) au pro Jiwe. Kama muandishi mkongwe hakutakiwa kuwa bias ye angetupa fact akaacha kuegemea upande fulani. Tungechuja na kujadili hoja badala ya mtu.
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Hii ni vita kati ya ubepari na ujamaa 🤐😭😭
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Huyu ansbert ngurumo ni ms_nge tu. Hapo inaonekana yuko huko ulaya. Eti anamuita musiba mhuni. Kwanza watu wajiulize ngurumo yuko kwa maslahi ya nani. Watanzania wanajua nani wako kwa maslahi ya wananchi na nani wanatumikia maslahi ya mabeberu.
 
Kuna matatizo makubwa sana katika kujadili hoja siku hizi.
Hoja ya msingi yaweza isijadiliwe kukaanza mashambulizi binafsi kutokana na hisia juu ya mtu huyo.
Mie nilidhani watu wangepuuza mengine wakajihoji kuhusu issues zifuatazo hapo;
1. Imekuwaje kampuni ya udalali ya YONO kunyang'anywa leseni kabla haijatekeleza hukumu? Nani yuko nyuma ya hili?
2. Jee kuna ukweli wa fedha nyingi kukutwa a/c ya Dr Bashiru Kakulu na kuwa frozen? Kwa nini ziwe frozen? Kazitoa wapi na alishirikiana na nani kwenye wizi huo kama ni wizi? Una freeze fedha za mwizi halafu unamuacha kwenye utumishi wa umma?
3. Jee hayo mapesa na mali kuna uhusiano gani na yale ya BOT ambayo Rais aliagiza uchunguzi tena kwa kuunda tume lakini hakuna taarifa iliyotoka wazi bali imeacha tetesi zinazo mhusisha pia mtu mwenye nafasi nyeti sasa alipokuwa wizara ya Hazina.
4. Jee kweli hilo kundi alilosema bado lipo kumbe? Usalama wa viongozi wetu ukoje kama wanaweza kufanya lolote?
Ndiyo ya kujiuliza na kujadili kwa upendo sio kuendekeza chuki na visasi na kuwaacha wachache wanafaidi matunda ya nchi huku wakisoma JF na kutucheka tuu

Well said na ndiyo maana ukiona mtu kwenye badala ya kutoa hoja anaanza personal attacks basi jua huyo ni ZERO BRAIN aka EMPTY SET.

Mambo aliyozungumza Ansbert kweli yanahitaji uchunguzi zaidi niliona Askofu Mwamakula aligusia Kukutwa kwa 3B kwenye account ya "Muhuni".
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Ngurumo ni mkatoliki na mwalimu wa kwaya,

Nilidhani angesinama na Mapadre kuwaasa wanasiasa kuwasikiza viongozi wa Dini na kusamehe bila kushinikiza au kubembelezwa, ameamua kupingana Hadi na daktari binafsi wa maembe.

Ama Kweli, pesa ni shina la UOVU!!!!
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Huu mpuuzi anaongea mengi lakini anaishi huko Ulaya. Anachonganisha wakati kila kitu chake kipo Ulaya, hawa ni wapuuzi tu wenye elimu za vyuo vikuu.

Kwao kifo cha kawaida hakipo kila akifa mtu basi kuna mkono wa mtu. Kuandika kitabu kumhusu JPM haikutosha ameona amhusishe JPM katika kifo cha Membe.

Zipo nchi wajinga kama huyu wanapigwa risasi za vichwa na mambo yanaishia hapo. Kagame ukimzingua kama huyu fala anavyomzingua Marehemu Magu, anatuma watu huko huko ulipo wanamaliza kazi na biashara inaishia hapo.
 
Ngurumo ni mkatoliki na mwalimu wa kwaya,

Nilidhani angesinama na Mapadre kuwaasa wanasiasa kuwasikiza viongozi wa Dini na kusamehe bila kushinikiza au kubembelezwa, ameamua kulingana Hadi na daktari binafsi wa maembe.

Ama Kweli, pesa ni shina la UOVU!!!!
Kelele zote hizo yupo Ulaya, yale yale ya mbwa koko anabweka akikimbilia mlangoni.
 
Aliwahi kuandika makala gazeti la Jamuhuri kuwa mwili wa marehemu Magu ulizungushwa maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Zanzibar na watu waliojitokeza mabarabarani kumlilia walikuwa wamelipwa!!!!

Tangu siku Ile nilimshusha vyeo vyote!!!!
 
Mpuuzi huyu kama mwingine yoyote unayemfahamu.

Ukitaka kujua nchi hii ina fursa kwa wasomi wanaotumia ujinga wa walio wengi, hicho kitabu chake alichoandika kinapata wanunuzi wengi miongoni mwa wanajamii wanaoonekana kuwa makini vichwani mwao.
 
Back
Top Bottom