Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Kila shetani mbuyu wake, naona huo ni wa kwako mkuuNdio mkuu King Kong III akisema sina budi kutii
Kila shetani mbuyu wake, naona huo ni wa kwako mkuuNdio mkuu King Kong III akisema sina budi kutii
Hapo ni kama utakuwa mtu wa karibu na Mungu (mcha wake) kwa moyo wako wote ndio shetani ataomba kibali. Vifo vingine ni vya shetani tu kama mtu upo upo sio moto wala baridi.Hamjui ya kuwa kila linalotokea yeye Mungu aliye muumbaji wetu ndio mwenye kibali cha kuruhusu kifo na kuhuisha?
Hamna mkuu Mimi sio shetaniKila shetani mbuyu wake, naona huo ni wa kwako mkuu
Kwa marlezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza

Sikiliza;
Huyo ni mzoga kwa sasa kama unaupenda kazikwe rondoKwa marlezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;
Hapo ni kama utakuwa mtu wa karibu na Mungu (mcha wake) kwa moyo wako wote ndio shetani ataomba kibali. Vifo vingine ni vya shetani tu kama mtu upo upo sio moto wala baridi.
Ayu 1:12 SUV
BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yote aliyo nayo yamo katika uwezo wako; lakini usinyoshe mkono wako juu yake yeye mwenyewe. Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA.
Kwa marlezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;
So the two Bee shops played their rolesThe same inavyoonekana kwa Membe.
Kwa marlezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;
Ni kawaida fitina ikishaingia ndani ya nyumba yeyote ile kuisha kwake ni kazi kweri kweri !! Kwa sasa itakuwa wanaNzengo wote No peace of mind at all !! Duniani hakuna raha ni shida tu !!Wapo wanaosema pia kwamba huyo wa awamu ya5 alisababishiwa
Mambo mengine tumwachie aliyetuumba tuu
Mungu kaamua ugomvi,Bahari imetulia![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu kafiwa na mfadhiri wake lazima tu aumie. Kila kifo kinasababu.
Mwambie nchi imeshatulia aje tulime.
Wanafiki huwa hawajifisha , eti mtaalam wa habari za kiuchunguziMzee Ngurumo kumbe alikuwa rafiki wa Membe?Kwa hiyo Membe ndio alimtuma aandike kitabu?Kumbe Mzee Ngurumo JPM alipokufa ulifurahi sana.Lakin Membe unasikitika sana.Mzee Ngurumo ,Tulia sindano ikuuingie vizuri.
Mwambieni agharimie mwili ufukuliwe na ufanyiwe postmortem ili ajue ukweli, labda itamsaidia kuacha kulialia.The same inavyoonekana kwa Membe.
Mhuu watu hawakosi maneno hii ni TZ bana.
Kuna muhuni aliwadanganya kwamba wema hawafi; wanashangaa imekuwaje mtu wao mwema kafa.Watu buana
Kwani hamjui ya kuwa kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima siku moja atakufa?