Haya ni Mapya Nyuma ya Msiba wa Membe

Haya ni Mapya Nyuma ya Msiba wa Membe

Kuna matatizo makubwa sana katika kujadili hoja siku hizi.
Hoja ya msingi yaweza isijadiliwe kukaanza mashambulizi binafsi kutokana na hisia juu ya mtu huyo.
Mie nilidhani watu wangepuuza mengine wakajihoji kuhusu issues zifuatazo hapo;
1. Imekuwaje kampuni ya udalali ya YONO kunyang'anywa leseni kabla haijatekeleza hukumu? Nani yuko nyuma ya hili?
2. Jee kuna ukweli wa fedha nyingi kukutwa a/c ya Dr Bashiru Kakulu na kuwa frozen? Kwa nini ziwe frozen? Kazitoa wapi na alishirikiana na nani kwenye wizi huo kama ni wizi? Una freeze fedha za mwizi halafu unamuacha kwenye utumishi wa umma?
3. Jee hayo mapesa na mali kuna uhusiano gani na yale ya BOT ambayo Rais aliagiza uchunguzi tena kwa kuunda tume lakini hakuna taarifa iliyotoka wazi bali imeacha tetesi zinazo mhusisha pia mtu mwenye nafasi nyeti sasa alipokuwa wizara ya Hazina.
4. Jee kweli hilo kundi alilosema bado lipo kumbe? Usalama wa viongozi wetu ukoje kama wanaweza kufanya lolote?
Ndiyo ya kujiuliza na kujadili kwa upendo sio kuendekeza chuki na visasi na kuwaacha wachache wanafaidi matunda ya nchi huku wakisoma JF na kutucheka tuu
Arsebert Ngurumo kundi analolituhumu kwani lina milki dola?
Kama kipindi kile linamiki dola na lilikuwa na mamlaka yote lilishindwaje kumuua Membe lije limuue kipindi hiki ambacho alina nguvu?
 
Ni ugomvi wa Mungu na wazuri hawafi kuna swali jingine?

Nadhani unajichanganya mkuu ,aliyesema wazuri hawafi anajulikana na Mh SSH alisimama akasahihisha ile kauli kwamba imemtoka tu Makamba nr kibahati mbaya kwahiyo mjadala ukaishia hapo na kauli ikawa haina nguvu maana MKUU WA NCHI ameicancel.
 
Mahaba hutia uziwi huyo mjomba wako anachofanya ni nini? Sio personal attacks?

Elimu ELimu ELimu ,Tofautisha personal attacks na Facts!! Ansbert ameongea facts kwamba account ya Muhuni ilikutwa na 3B ambazo zipo zipo tu haziongezeki wala kupungua ,tasmini ya mali za muhuni zilikuwa kama 9B wakati alikuwa hana uwezo hata wa kulipa wafanyakazi mishahara.
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Hatari hatari! Kama kuna mtu hajamuelewa huyu basi tena!?
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

kawa mzoga , kama vipi akaufukue akae nao kwake .
 
Kelele zote hizo yupo Ulaya, yale yale ya mbwa koko anabweka akikimbilia mlangoni.
Wewe bwege mtozeni kumbe bado upo. Mpumbavu kama wewe unaweza kuhoji mtu kama Asbert? Frustration zako za kushindwa kutembea nchi za nje kama mwenzako ndiyo zinakufanya unaharisha uharo kama huu! Idiot!
 
Maelezo
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Maelezo yote yamejaa inasemekana, hakuna la maana hapo, Dr. wake alimaliza kila kitu
 
Wewe bwege mtozeni kumbe bado upo. Mpumbavu kama wewe unaweza kuhoji mtu kama Asbert? Frustration zako za kushindwa kutembea nchi za nje kama mwenzako ndiyo zinakufanya unaharisha uharo kama huu! Idiot!
Mpuuzi wewe mimi nimekwenda ulaya mwaka tisini na tano miaka 28 iliyopita. Kitambo sana.

Limbukeni kama wewe ndio unaona deal sana mtu kuwa Ulaya.

Namuongelea yeye kama mwandishi mwanaharakati anayewachuza wapuuzi kama nyinyi mkaingia kichwa kichwa katika mada anazozianzisha yeye akiwa uhamishoni.
 
Nadhani unajichanganya mkuu ,aliyesema wazuri hawafi anajulikana na Mh SSH alisimama akasahihisha ile kauli kwamba imemtoka tu Makamba nr kibahati mbaya kwahiyo mjadala ukaishia hapo na kauli ikawa haina nguvu maana MKUU WA NCHI ameicancel.
Yani unamaanisha rais alimuombea msamaha yusuph makamba kwa niaba yake!!?? Yeye makamba alishindwa kuomba msamaha kwa kauli aliyotoa!!??
 
Huu mpuuzi anaongea mengi lakini anaishi huko Ulaya. Anachonganisha wakati kila kitu chake kipo Ulaya, hawa ni wapuuzi tu wenye elimu za vyuo vikuu.

Kwao kifo cha kawaida hakipo kila akifa mtu basi kuna mkono wa mtu. Kuandika kitabu kumhusu JPM haikutosha ameona amhusishe JPM katika kifo cha Membe.

Zipo nchi wajinga kama huyu wanapigwa risasi za vichwa na mambo yanaishia hapo. Kagame ukimzingua kama huyu fala anavyomzingua Marehemu Magu, anatuma watu huko huko ulipo wanamaliza kazi na biashara inaishia hapo.
Umeacha kabisa kuchambua dots alizo connect. Mbona hujasema Msiba amepata wapi mabilioni. Umejisahaulisha mabilioni yaliyohamishwa kwenye account ya Bashiru, lakini husemi kama kivipi Yono walifutiwa kibali. Umeanza na kumaliza na attacks kwa mtoa hoja
 
Elimu ELimu ELimu ,Tofautisha personal attacks na Facts!! Ansbert ameongea facts kwamba account ya Muhuni ilikutwa na 3B ambazo zipo zipo tu haziongezeki wala kupungua ,tasmini ya mali za muhuni zilikuwa kama 9B wakati alikuwa hana uwezo hata wa kulipa wafanyakazi mishahara.
Thibitisha kua hakua na uwezo wa kupata hizo billions..
 
Umeacha kabisa kuchambua dots alizo connect. Mbona hujasema Msiba amepata wapi mabilioni. Umejisahaulisha mabilioni yaliyohamishwa kwenye account ya Bashiru, lakini husemi kama kivipi Yono walifutiwa kibali. Umeanza na kumaliza na attacks kwa mtoa hoja
Lete uthibitisho kua kwenye account ya Bashiru kulikutwa hayo mabilion. Sisi sio nyumbu wa kulishwa kila taarifa za upuuzi.
 
Umeacha kabisa kuchambua dots alizo connect. Mbona hujasema Msiba amepata wapi mabilioni. Umejisahaulisha mabilioni yaliyohamishwa kwenye account ya Bashiru, lakini husemi kama kivipi Yono walifutiwa kibali. Umeanza na kumaliza na attacks kwa mtoa hoja
Hana ushahidi wa yote hayo aliyosema. Hizo ni tuhuma ambazo zinakuwa na uhalali humu jukwaani na katika sehemu za maongezi mfano Instagram na facebook, ni gossips au kwa kiswahili ni tuhuma ambazo zinakuwa ni maneno ya ukweli iwapo zinaambatana na ushahidi wa vitendo wenye kuweza kuwakilishwa mahakamani.

Huyo ni mpuuzi tu mwenye kukimbilia masuala ya haki za binadamu kama kichaka cha kuishi mbali na TZ. JPM anaweza kuwa na dhambi nyingi lakini kumbuka kwa sasa yupo kaburini kule Chato, hawezi tena kujitetea na ni jukumu la walio hai kumtetea dhidi ya mashambulizi ya watu wasio waungwana kama huyu mpuuzi.
 
Watu buana

Kwani hamjui ya kuwa kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima siku moja atakufa?

Hamjui ya kuwa kila linalotokea yeye Mungu aliye muumbaji wetu ndio mwenye kibali cha kuruhusu kifo na kuhuisha?

Tuache kuingilia kazi za Mungu

Lala salama mzee wetu Bernard Membe
Kwa maelezo yako hata mgonjwa asipopata matibabu akafa ni sawa? Kama kuna mashaka popote, lazima uchunguzi wa kina ufanyike kujua mbivu na mbichi. Kusema tumwachie Mungu kila kitu ni dalili za uvivu wetu wa kufikiri na kutenda.
 
Hana ushahidi wa yote hayo aliyosema. Hizo ni tuhuma ambazo zinakuwa na uhalali humu jukwaani na katika sehemu za maongezi mfano Instagram na facebook, ni gossips au kwa kiswahili ni tuhuma ambazo zinakuwa ni maneno ya ukweli iwapo zinaambatana na ushahidi wa vitendo wenye kuweza kuwakilishwa mahakamani.

Huyo ni mpuuzi tu mwenye kukimbilia masuala ya haki za binadamu kama kichaka cha kuishi mbali na TZ. JPM anaweza kuwa na dhambi nyingi lakini kumbuka kwa sasa yupo kaburini kule Chato, hawezi tena kujitetea na ni jukumu la walio hai kumtetea dhidi ya mashambulizi ya watu wasio waungwana kama huyu mpuuzi.
Unataka akuletee wewe humu?!
 
Back
Top Bottom