Haya ni Mapya Nyuma ya Msiba wa Membe

Haya ni Mapya Nyuma ya Msiba wa Membe

FAMILIA YA MEMBE ...YAMKANA ALIYE JITAMBULISHA KAMA DAKTARI WA FAMILIA,WAMPA SIKU 7

halafu Membe kafia Kairuki, huyu "daktari wa familia" yuko Jakaya Insitute, alijuaje sababu za kifo 2 hours after death ??? Kasema yeye ni daktari mshauri mwandamizi na professa wa magonja ya ndani na maradhi ya moyo Jakaya Institute...resume ndefu kaitoa msibani.... mwisho wa siku anasema Pulmonary Embolism ya Membe imesababishwa na kirusi. Toka lini ? Hapo hapo nikam dauti.

Hawa ndio maprofessa wa Jakaya Kikwete Institute ???.... no wonder Kikwete akiumwa anaenda zake John Hopkins, USA, nimeanza kuelewa, japo ni matumizi selfish ya kodi yetu. Daktari bingwa wa moyo unakuaje huuelewi ugonjwa namba tatu duniani kwa kuua watu kwa moyo na mishipa baada ya stroke na heart attack ???? Kivipi yani ?
 
Kwa maelezo yako hata mgonjwa asipopata matibabu akafa ni sawa? Kama kuna mashaka popote, lazima uchunguzi wa kina ufanyike kujua mbivu na mbichi. Kusema tumwachie Mungu kila kitu ni dalili za uvivu wetu wa kufikiri na kutenda.

Kwani membe alikosa matibabu!? Au familia ilisema afanyiwe uchunguzi imeshindikana!?
Tunajadili kuendana na maada iliyo mezani hatujadili kila kifo
 
halafu Membe kafia Kairuki, huyu "daktari wa familia" yuko Jakaya Insitute, alijuaje sababu za kifo 2 hours after death ??? Kasema yeye ni daktari mshauri mwandamizi na professa wa magonja ya ndani na maradhi ya moyo Jakaya Institute...resume ndefu kaitoa msibani.... mwisho wa siku anasema Pulmonary Embolism ya Membe imesababishwa na kirusi. Toka lini ? Hapo hapo nikam dauti.

Hawa ndio maprofessa wa Jakaya Kikwete Institute ???.... no wonder Kikwete akiumwa anaenda zake John Hopkins, USA, nimeanza kuelewa, japo ni matumizi selfish ya kodi yetu. Daktari bingwa wa moyo unakuaje huuelewi ugonjwa namba tatu duniani kwa kuua watu kwa moyo na mishipa baada ya stroke na heart attack ???? Kivipi yani ?

Prof. Harun Elmada Nyagori

1684833294490.png

Prof. Harun Elmada Nyagori is among the experienced Consultant Physician-Cardiologist in the United Republic of Tanzania. • With super speciality in cardiology, Prof. Harun Elmada Nyagori received his Doctor of Medicine degree, Master of Medicine in internal medicine and Master of Science at Lugansk State Medical University in Lugansk, Ukraine
 
Mpuuzi wewe mimi nimekwenda ulaya mwaka tisini na tano miaka 28 iliyopita. Kitambo sana.

Limbukeni kama wewe ndio unaona deal sana mtu kuwa Ulaya.

Namuongelea yeye kama mwandishi mwanaharakati anayewachuza wapuuzi kama nyinyi mkaingia kichwa kichwa katika mada anazozianzisha yeye akiwa uhamishoni.
You are just a lazy idiot! Hoja zako ni za kipumbuvu kabisa. Kama kweli umefika Ulaya na kupata exposure hata ya mwaka tu na bado una akili mgando kama hizi basi wewe kubwa jinga.
 
Prof. Harun Elmada Nyagori

View attachment 2632195

Prof. Harun Elmada Nyagori is among the experienced Consultant Physician-Cardiologist in the United Republic of Tanzania. • With super speciality in cardiology, Prof. Harun Elmada Nyagori received his Doctor of Medicine degree, Master of Medicine in internal medicine and Master of Science at Lugansk State Medical University in Lugansk, Ukraine
Kwa wale wanaojua kusoma haiba za watu, picha na namna wanavyoongea, huyu dr nitamweka kwenye list yangu ya watu wanaohitaji kuchunguzwa zaidi juu ya elimu na uwezo wa kazi.
 
You are just a lazy idiot! Hoja zako ni za kipumbuvu kabisa. Kama kweli umefika Ulaya na kupata exposure hata ya mwaka tu na bado una akili mgando kama hizi basi wewe kubwa jinga.
Mjinga ni wewe unayevamia usiowajua. Nimekaa Ulaya miaka sita na ninayo exposure ya kutosha tu.

Mjinga ni wewe unayedhani Ulaya ndio kila kitu, wapo wasomi hapa hapa afrika wenye mantiki katika maamuzi yao kuliko hata hao walioishi Ulaya.
 
Kwani membe alikosa matibabu!? Au familia ilisema afanyiwe uchunguzi imeshindikana!?
Tunajadili kuendana na maada iliyo mezani hatujadili kila kifo
Tunajadili mada na ndiyo sababu ya kusema siyo suala la kumwachia Mungu.
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Kumeanza kukucha, shida ni kwamba Kama kwenye kifo cha alietangulia upo mkono wa mtu basi , elewa yahajayo yatakua mazito , alietangulia hakua mtu mwepesi au kuwa na mtandao mwepesi , so kama kweli ilifanyanyika wahusika hesabu ziliwadanganya sana

Kama ni kweli wahusika watadodoka sana, wacha tuone fika mwakani wa 5/ 2024
 
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;

Hiki kizee kinauzuni sana basha wake kufukiwa eee nenda mshoga utapata mwanaume mwingine we malaya
 
Well said na ndiyo maana ukiona mtu kwenye badala ya kutoa hoja anaanza personal attacks basi jua huyo ni ZERO BRAIN aka EMPTY SET.

Mambo aliyozungumza Ansbert kweli yanahitaji uchunguzi zaidi niliona Askofu Mwamakula aligusia Kukutwa kwa 3B kwenye account ya "Muhuni".

Kama ni kweli huyu jamaa ana hizo 3B na assets zenye thamani alizosema huyo msemaji na kwa hakika itakuwa ni zao la awamu ile na sidhani Kama ni faida tu ya kuendesha Gazeti

Hii ni moja ya ishara anae itwa mtetezi wa Umma na wanyonge wa awamu iliyopita ilikuwa ni kiini macho tu, yule bwana alialika watu wa ovyo ovyo mno na kwa matendo ya ajabu ajabu na kufaidi keki ya Taifa

Watu ambao hawakuwa na cha kupoteza na wivu wetu kama jamii kwa wanao onekana wana mafanikio ndo kundi kubwa linalo onyesha eti walimuelewa yule bwana mkubwa
 
Machawa wa MAKENZI walikuwa mabilionea kuanzia BASHITE ,SABAYA,MUHUNI MWANAHARAKATI HURU, MNYETI ,ALI HAPI etc walijichotea mifedha kwa kudhulumu wafanyabiashara na kuwapora mali zao.
 
Kuna matatizo makubwa sana katika kujadili hoja siku hizi.
Hoja ya msingi yaweza isijadiliwe kukaanza mashambulizi binafsi kutokana na hisia juu ya mtu huyo.
Mie nilidhani watu wangepuuza mengine wakajihoji kuhusu issues zifuatazo hapo;
1. Imekuwaje kampuni ya udalali ya YONO kunyang'anywa leseni kabla haijatekeleza hukumu? Nani yuko nyuma ya hili?
2. Jee kuna ukweli wa fedha nyingi kukutwa a/c ya Dr Bashiru Kakulu na kuwa frozen? Kwa nini ziwe frozen? Kazitoa wapi na alishirikiana na nani kwenye wizi huo kama ni wizi? Una freeze fedha za mwizi halafu unamuacha kwenye utumishi wa umma?
3. Jee hayo mapesa na mali kuna uhusiano gani na yale ya BOT ambayo Rais aliagiza uchunguzi tena kwa kuunda tume lakini hakuna taarifa iliyotoka wazi bali imeacha tetesi zinazo mhusisha pia mtu mwenye nafasi nyeti sasa alipokuwa wizara ya Hazina.
4. Jee kweli hilo kundi alilosema bado lipo kumbe? Usalama wa viongozi wetu ukoje kama wanaweza kufanya lolote?
Ndiyo ya kujiuliza na kujadili kwa upendo sio kuendekeza chuki na visasi na kuwaacha wachache wanafaidi matunda ya nchi huku wakisoma JF na kutucheka tuu
Umenena vema mkuu[emoji119][emoji119]
 
Kwani Mhe Rais Samia Suluhu Hassan anasemaje kuhusu kifo cha Membe?
Maana miaka miwili iliyopita alisema wenye mashaka, malalamiko na kifo cha Rais Magufuli wapeleke malalamiko yao serikali, 👇👇👇👇

Back
Top Bottom