Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 663
- 1,046
Kwa maelezo haya ambayo ni wazi yamefanyiwa utafiti wa kina lile kundi lililo watuma Askofu Malasusa na Kadnali Pengo bado lina nguvu ndani ya serikali na linaweza kufanya chochote kwa kiongozi au mtu yeyote. Kulionea aibu ni kufuga Jini kwenye chupa.
Sikiliza;
Vipi Mauzo ya Kitabu chenu Cha The State yanaendelea je 😂😂