Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona

● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi

Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Chanika ipi ? Nijuavyo mm chanika sasa hivi shughuli ZAO ni 24hrs,
 
Hawana tofaut na watu wa Tanga loooh ule mkoa una maajabu sana sio Kwa uvivu ule wa watu wa kule
Wondering why mnaita watu wa tanga ni wavivu. Katika mikoa inayochangia Zaid pato la Taifa tanga inashika nafasi ya tano kama sio ya sita. Katika mikoa yenye watu wenye kipato kikubwa Tanga ipo ndani ya tano bora.
 
Hapo ndani ndani ni wapi Sasa maana pale mwisho kwa makam unaingia pwani ni pazuri
Haya ukielekea mbagala kule kote nimefika hadi chamazi ukirejea kama unaenda mjini chanika inaishia hapa hoteli ya Nermat
Inazidiwa na Geita sehemu gani hapo kasamwa Nyankumbu hapo soko la madini Katoro Nyang'hwale ,mbogwe ,bukombe buseresere Bahati nzuri Geita yote mjini na vijijini nimeishi
Sikatai Chanika bado tunamdai Samia ila ukisema haijapiga hatua unaonesha ni aina ya watu ambao serikali inabidi kuwalindia ardhi maana ikiacha wakenya na warwanda watachukua maeneo yote mvuti na homboza sababu unaamini hapajawa "mjini"ila amini kutoka Sadala hadi Zogoali chanika imewaka taa💯
Geita mjini usipalinganishe na Chanika ndugu hata Katoro usiilinganishe na Chanika.

Ziko mbali sana Chanika ni kijijini kwa hizo sehemu
 
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona

● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi

Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Huko ndio kwa kununua mashamba nyie vijana. Miaka ya 1980 hapo Mwenge na Ubungo yalikuwa mashamba ya mpunga na mihogo sasa je?
 
Watu wa Dar tunapenda kulishana ujinga tu. Kuanzia Banana hadi huko Chanika hakuna maajabu yeyote na hakuna tofauti na mkoani.
Chanika haiwezi kuifikia Katoro kwa kila kitu iwe biashara,makosanyo ya kodi na idadi ya watu.
 
Huko ndio kwa kununua mashamba nyie vijana. Miaka ya 1980 hapo Mwenge na Ubungo yalikuwa mashamba ya mpunga na mihogo sasa je?
Sio lazima ununue Chanika ardhi inalipa popote kikubwa pawe na ishara na miundombinu ya maendeleo.
 
mvumoni na penyewe ni dar ,aya sawa😁😁
 
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona

● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi

Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Acha ulimbukeni sister. Kwani DSM ni nini? Yaani kuishi dsm uniona kama ndio umefanikiwa sana kimaisha? Puumbaavu sana
 
Back
Top Bottom