Sawa mkuu naon ukizunguka mitaa kadhaa tayari ushajua kila sehemuSasa tandale ina nini ile sibora ata ifakara ya morogoro tena ni bora zaidi
Hahhah aisee geita porini kule 🤣🤣🤣🤣 mja masiahara sana vijanatena chanika ni mwatolole kbs tusiseme geita
Upanga huwezi kukaa??Hila sehemu yenye wavaa kobazi kuna mambo mengi ya ulozi na uswahili. Mimi nilikuwa makini sana nikiona mtaa una wavaa makobazi wengi sikai. Hata ukinipa nyumba nikae bure sitaki!
😂😂😂😂😂 uko ukipika kuku lazima umugawie mwenye nyumba usipofanya ivo utaonaHila sehemu yenye wavaa kobazi kuna mambo mengi ya ulozi na uswahili. Mimi nilikuwa makini sana nikiona mtaa una wavaa makobazi wengi sikai. Hata ukinipa nyumba nikae bure sitaki!
Marekani ni mamtoni kule sehemu ata akiwa mbaya social service niza uhakika sio huku unajua hapa dar kunasehemu wanatumua baiskeli za mkulima kupeleka wagonjwa hospital zaidi ya makilometerHuyu mtu mtoa mada ana phobia ..... Mbona hata WASHINGTON DC , PARIS. Kuna slums areas na TENA huko unakuta MA TEJA WALIO SHINDIKANA .
We tulia hapo ligula bana ! Nakuja kukutolea posa mtoto mzuri nikupendaye toka moyoni mwangu 🥰 MTechChanika ya wapi umeenda Faza maduka yanafungwa saa mbili na kufunguliwa saa 5?
Naomba ela sweetheart 💕We tulia hapo ligula bana ! Nakuja kukutolea posa mtoto mzuri nikupendaye toka moyoni mwangu 🥰 MTech
Wanaendekeza ngono 😹😹Sijui sababu ni nn!?
Mnatusema sisi ila na wale majamaa wanapenda sana chini😅😅Wanaendekeza ngono 😹😹
Ngoja niku inbox kwa namba yako tuyajenge my sweetheart 😘Naomba ela sweetheart 💕
Sijawahi fika chanika, ila sidhani kama Chanika ina ishi watu wa kabila moja au wanaotoka mka mmoja.Chanika ya wapi umeenda Faza maduka yanafungwa saa mbili na kufunguliwa saa 5?
Chanika zipo zaidi ya moja, fafanua ni ipi.Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi
Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
😹😹😹 Kwahiyo nao wanashika nafasi ya ngapi?Mnatusema sisi ila na wale majamaa wanapenda sana chini😅😅
Kutongozwa na mimba kule ni kawaida