Haya ndio niliyoyaona Chanika - Dar es Salaam

Kijana mdogo sana wewe,hujui usemalo!enzi hizo tukiishi upanga mtaa wa mindu,tuliona kariakoo uswahilini sana,tulikuwa tu tunapita pugu road kwenda airport tulikuwa na dharau wewe,leo nipo mkuranga,hakuna mbali kijana!,ishi kwa upole,heshimu kila mtu!
NJoo tuyajenge wa mkuranga
 
Huyo jamaa haijui chanika na inawezekana hata Dar yenyewe hajawahi kukanyaga, ni mtu wa kanda ya ziwa huko.

Eti Chanika maduka yanafungwa saw mbili..

Chanika is another Kariakoo.

Ile energy ya Dar Es Salaam ya miaka ya tisini, imekuwa re-incarnated in Chanika.

Huwezi ipata mahala popote jijini Dar Es Salaam kwa sababu wazawa wengi wamehama.

Buza + Mbagala + Chanika= New Dar Es Salaam...

Kesho jioni nitakuja Chanika kula bata .

Chanika kuchele
Chanika sio dar ni mkoani tu
 
Nilianza kusoma huu uzi ila sikusoma comment moja kwa moja nikaenda kuku tag mkuu..

Kumbe tayari ulishapita 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Na nilisikia za chini chini kuwa Una nursery kule chanika mkuu 🫵🫵🫡🫡😂
Anajipigia debe apate ugali chanika kule bora ata ifakara
 
Chanika sio dar ni mkoani tu
Halafu Ondoa picha ya Magu hapo kwenye avatar weka Picha ya Baba yako tuone Mzee aliekosea kupiga bao sasa anajuta bora angepiga nyeto tu au angekusweka kwenye Condom, hasara
 
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona

● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi

Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Vipi Geita maeneo ya Shikalibuga yanafanana na Chanuka?

Naona unafananisha makao makuu ya mkoa na nje ya Dar.
 
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona

● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi

Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Na hii mikoa maskini ulikotoka uliona nini?
Watoto wanatembea uchi, huku wakiwa na utapiamlo na kifaduro cha ajabu....
Sidhani kama huko wanavaa vibaragashia....

1752191839909.png

1752191866880.png
 
Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona

● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi

Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Never ishi sehemu iliyojaa Waislam, utakuja juta maishani.
 
Back
Top Bottom