Au Mtambaswala 😀Chanika na Nanjilinji ni ngoma droo
hombozaMkuu ad jina nimesahau kule unaamswa na ndege asbh
Atueleze maana chanika kuanzia Sadala hadi Kona ya nzasa watu wanakeshaChanika ya wapi umeenda Faza maduka yanafungwa saa mbili na kufunguliwa saa 5?
Itakuwa Chanika ya Tanga.Atueleze maana chanika kuanzia Sadala hadi Kona ya nzasa watu wanakesha
Baki mkoani kwako ufubaeNaendelea hapa
● wanawake wote mavazi yao ni vijora tu, unkuta demu mwembamba amevaa kijora hahaha asee wanataka kutuchekesha
● Just imagine sehemu unasafiri zaidi ya masaa 4 hadi 5 kwa mfano ukiwa unatokea mbezi -Goba hadi huku
● usafiri ukizubaaa utasbr ad kesho
Watubwa dar wakiwa wanakuja mikoani kutembea utasema wanaishi ulaya kumbe ndo chanika, rangi tatu na kule Tandale 😁
Karibuni mikoani tena kuzuri kuliko dar
Kifupi hapajui chanika kaongea hisiaItakuwa Chanika ya Tanga.
Chanika ya Ilala usafiri masaa 24.
Na ina wahamoaji wengi sana, ni mchanganyiko wa makabila. Serikali imelijua hilo huduma zote muhimu zipo pale. Bahati nzuri nimeizunguka sana Chanika wakati natafuta maeneo.
Ngoja nione numbisa ata semajeAiseeeeeee
Elewa neno chanika ndanindani wewe hujui vizuriItakuwa Chanika ya Tanga.
Chanika ya Ilala usafiri masaa 24.
Na ina wahamoaji wengi sana, ni mchanganyiko wa makabila. Serikali imelijua hilo huduma zote muhimu zipo pale. Bahati nzuri nimeizunguka sana Chanika wakati natafuta maeneo.
Yaani mshamba wa zamani na mshamba wa sasa wote sawa.Ushamba hauishagi.Yeye ndiyo hayo aliyoyaona.Utamkatazaje alichokiona kwa sababu ya wewe ulivyoiona Kariakoo ya kale wakati hajaiona Chanika ya keshokutwa?
Kwani minazi tunahudumia kila siku?Hawana tofaut na watu wa Tanga loooh ule mkoa una maajabu sana sio Kwa uvivu ule wa watu wa kule
Hapo ndani ndani ni wapi Sasa maana pale mwisho kwa makam unaingia pwani ni pazuriUnauhakika naandika ninachokijua 100% labda wewe apo ndo hupajui au unajua hapo chanika center hujaingia ndanindani