Haiponika ndani ndani. Chanika yote ina mitaa na yote naifahamu. Mtaa wa ndani ndani unaoujua haupo.Elewa neno chanika ndanindani wewe hujui vizuri
Kuna mdau kakuuliza mtaa upi? Haujamjibu.
Haiponika ndani ndani. Chanika yote ina mitaa na yote naifahamu. Mtaa wa ndani ndani unaoujua haupo.Elewa neno chanika ndanindani wewe hujui vizuri
Basi ni vema wasabahiane kwa bashasha.Yaani mshamba wa zamani na mshamba wa sasa wote sawa.Ushamba hauishagi.
Sipo Chan chanika lakini napafahamu sana,ukiweza nunua eneo heka moja jiwekee ustaarabu wako ishi kimya,salimia wazee,wakitaka kahawa wape utafaidika sana.Uko chanika mkuu??
Huijui Chanika wala unachoandika hakina ukweli wowote.Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi
Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
NaamBasi ni vema wasabahiane kwa bashasha.
Tutokee na ushamba wako wa Geita hapa.Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona
● Kule huwezi kutofautisha kijana na mzee, maana wote wamevaa vibaragashia chini, wamefunga nguo sijui ni kitenge
● Ukipita macho yote kwako, utasindikizwa na macho hadi utakapoishia
● Mashamba ya mihogo kama mikoa tu
● Maduka yanafungwa saa mbili tu, kufunguliwa ni saa tano asubuhi
Chanika na maeneo mengine ambayo sijayataja hayana hasi ya kuwa DSM, kuna baadhi ya mikoa Kanda za Ziwa ni bora kuliko Chanika, kwa mfano Geita iko vizuri sana kuliko huku DSM sijui Chanika et naishi Dar ndo Chanika kweli tena ndani ndani 😀
Umeshakua mfumo, sasa hata ukiwa na duka ukifungua saa moja nani atakuja kununua labda awe mgeni, labda paje patokee kitu kitachowavutia wakening kwa winging ndio patabadilikaNi waoga au wanakuwa wamechoka sana kukaa vibarazani na kuamua kwenda "kujipunzisha"?
Ni kama Moshi niliwahi kuishi pale mjini enzi hizo; ikifika Ijumaa saa nane ule mji wanaachiwa wasambaa!Tanga saa 3 huoni mtu nje 😅
Hila sehemu yenye wavaa kobazi kuna mambo mengi ya ulozi na uswahili. Mimi nilikuwa makini sana nikiona mtaa una wavaa makobazi wengi sikai. Hata ukinipa nyumba nikae bure sitaki!Hapo bado hujaongelea chuma ulete na kurogwa ambayo ni mambo ya kawaida sehemu yoyote kwenye kobazi wengi
Mtoto wa kiume masimango ya nini ,hivi Tandale ndio ya kuidharau kiasi hicho mkuuNaendelea hapa
● wanawake wote mavazi yao ni vijora tu, unkuta demu mwembamba amevaa kijora hahaha asee wanataka kutuchekesha
● Just imagine sehemu unasafiri zaidi ya masaa 4 hadi 5 kwa mfano ukiwa unatokea mbezi -Goba hadi huku
● usafiri ukizubaaa utasbr ad kesho
Watubwa dar wakiwa wanakuja mikoani kutembea utasema wanaishi ulaya kumbe ndo chanika, rangi tatu na kule Tandale 😁
Karibuni mikoani tena kuzuri kuliko dar
Kanda ya ziwa geita uifananishe na chanika..? Mwanza yenyewe haina mfanano na chanika. Acha kufananisha dar na porini mkuu. Yaani geita 🤣🤣🤣🤣Eti Chanika kule napo ni Dar aisee, haya ndiyo niliyoyaona