Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,176
- 18,883
Watakuwa kwenye 5 bora🤣😹😹😹 Kwahiyo nao wanashika nafasi ya ngapi?
Tanga sokoni anaenda na mume ili awahi kurudi adinye..!!
Watakuwa kwenye 5 bora🤣😹😹😹 Kwahiyo nao wanashika nafasi ya ngapi?
Tanga sokoni anaenda na mume ili awahi kurudi adinye..!!
Muulize vizuri huyo kiazi kitamu kaenda Chanika ya Pluto au?Chanika ya wapi umeenda Faza maduka yanafungwa saa mbili na kufunguliwa saa 5?
😹😹😹 nafasi ya 3Watakuwa kwenye 5 bora🤣
Chanika sio Mkoa wewe kiazi ni sehemu ndani ya Wilaya ya Ilala imepakana na Kisarawe Mkoa wa PwaniHawana tofaut na watu wa Tanga loooh ule mkoa una maajabu sana sio Kwa uvivu ule wa watu wa kule
Umo umo😅😹😹😹 nafasi ya 3
Aliyoyaongea sio kweli VP Mpango anaishi Chanika ndio aelewe Chanika sio pa kupazungumzia ovyo ovyousijali sana mavazi yao, kule ni mji mpya unaokua kwa kasi ya 5G.
Huyo kibungo ana matatizo ya kinyeo ndio madhara ya kutumia njia ya haja kubwa kwa matumizi mengine yasifaa kwa matumizi ya binadamuMuongo sana we raia, chanika pamechangamka sjui maana yako ya kupotosha nnn!?
Ulipata zero mitihani yako?Uko chanika mkuu??
Ni kweli ukipita saa tano za usiku njiani unatembea mwenyeweTanga saa 3 huoni mtu nje 😅
Huyo jamaa haijui chanika na inawezekana hata Dar yenyewe hajawahi kukanyaga, ni mtu wa kanda ya ziwa huko.Kwani LIKUD anasemaje
Tanga ndio kupo hivyo sio Tanga tu mikoa mingi ikifika saa 4 au 5 ukitembea barabarani upo peke yako hakuna amsha amsha km Dar, maduka kufunguliwa kuanzia saa 3 au 4 mpaka 5 wakati Dar huduma 24|7Ni kweli ukipita saa tano za usiku njiani unatembea mwenyewe
Atakua anaongelea Viwege au Majohe huko ndio anapaita ChanikaHuyo jamaa haijui chanika na inawezekana hata Dar yenyewe hajawahi kukanyaga, ni mtu wa kanda ya ziwa huko.
Eti Chanika maduka yanafungwa saw mbili..
Chanika is another Kariakoo.
Ile energy ya Dar Es Salaam ya miaka ya tisini, imekuwa re-incarnated in Chanika.
Huwezi ipata mahala popote jijini Dar Es Salaam kwa sababu wazawa wengi wamehama.
Buza + Mbagala + Chanika= New Dar Es Salaam...
Kesho jioni nitakuja Chanika kula bata .
Chanika kuchele
Nilianza kusoma huu uzi ila sikusoma comment moja kwa moja nikaenda kuku tag mkuu..Breaking News: Mtoa mada hajawahi kufika Dar tangu azaliwe. Ndio anataka kuja Dar kuanza maisha anataka kuanzia Chanika Ila hajji ABC za Chanika so ameleta uzi hapa ili kutaka kujua zaidi kuhusu Chanika.
Naomba wakazi wa Chanika msifunguke. Muacheni na ushamba wake
Your welcome alot..Huyo jamaa haijui chanika na inawezekana hata Dar yenyewe hajawahi kukanyaga, ni mtu wa kanda ya ziwa huko.
Eti Chanika maduka yanafungwa saw mbili..
Chanika is another Kariakoo.
Ile energy ya Dar Es Salaam ya miaka ya tisini, imekuwa re-incarnated in Chanika.
Huwezi ipata mahala popote jijini Dar Es Salaam kwa sababu wazawa wengi wamehama.
Buza + Mbagala + Chanika= New Dar Es Salaam...
Kesho jioni nitakuja Chanika kula bata .
Chanika kuchele
Hapajui Chanika huyoWewe haukuwa Chanika... Nadhani ulikuwa Kisarawe mjini au maeneo ya kule Homboza....
Chanika kumechangamka kwelikweli...... Kama hujui maeneo ni vizuri uulize .....siyo unaropokaropoka.....
Kumbuka Chanika kule Kuna makazi ya Makamu wa raisi Dk. Mpango...
Kabisa mkurugenzi.... Atakuwa hapajui.... Na nahisi atakuwa mgeni kutoka huko Malampaka Shinyanga huko...Hapajui Chanika huyo
Malampaka ipo Simiyu au Shinyanga si walipiga Pasu pale hio ikawekwa Simiyu au bado ipo ShinyangaKabisa mkurugenzi.... Atakuwa hapajui.... Na nahisi atakuwa mgeni kutoka huko Malampaka Shinyanga huko...