marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Kama mwanamke akijifanya kidume ndani ya nyumba unategemea nn??Asieweza kazi, yeye dk tu kacheuwa. M'ume anaetaka mshindane ndan ya nyumba, na yupo kukomoa tu.
Kama mwanamke akijifanya kidume ndani ya nyumba unategemea nn??Asieweza kazi, yeye dk tu kacheuwa. M'ume anaetaka mshindane ndan ya nyumba, na yupo kukomoa tu.
Hilo ni swala jengine. Yeye atakuwa anacheza sehemu yake, kupata au kukosa ni mambo ya mungu. Lakini amini, anaetafuta ipo siku atapata.Na kama anajituma,ila mambo hayaendi je??
Kwani wewe haufanyi kazi???promise na pesa hatoi teh teh....
Vyote kama vp??? Sasa wewe unataka mkamilifu..Hawa ndio kero kubwa shosti unakuta vitu vingine vizuri vyote anavyo ila akili ya maisha zero, unaweza ukapata Bp kwa kuhangaika naye
Vp mwanamke akisaidiwa wkt wa shida lkn hamjali mwanaume akiwa na shida.??Mwanaume unayemsaidia na kumsupport akiwa na shida halafu wewe ukiwa na shida wala hajali tena.
Wananikera sana.
Je sifa hizo unazo???1. Mchoyo
2. Mwenye ghubu
3. Mwenye dharau
4. Much know na asiyeshaurika
5. Ngumi mkononi
6. Control freak
7. Asiyejiamini
8. Malaya na mzinzi>>> chovyachovya
10. Mbahili
11. Msema hovyo
12. Asokuwa na staha
13. Misifa.com
14. Mvivu
15. Mchafu
16. Mario
17. Kutokuwa mtafutaji
18. Kutokuwa na msimamo wa maisha.....ikiwemo asojua nini anataka
19. Asojitambua
Nitarudi na mengine
Wewe mtoaji???Sipendi pesa napenda mwanaume mtoaji
sifa zinazotajwa si lazima ziwe za watu tuliokuwa nao.Ww ulipata mario wako hajui kuoga
Usitupe kitendawili kisichotegulika wenzioSio kweli.... skiliza wimbo wa salome utaniona pale![]()
![]()

OkeyMfano wahaya...
Kwani ww haufanyi kazi na je haujavuka miaka 18???Sipendi mwanaume ambaye anasubiri mpaka nimuombe hela hawezi kujiongeza😵
Sana tu yaaniWewe vp unaweza mpa mwanaume wako pesa???
Mi sio bahili. Mwanamke asiponipiga mizinga namtema.Habari zenu wanawake,
Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.
Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
Mwanaume lazima umhudumie mwanamke wako hata kama anafanya kaziKwani ww haufanyi kazi na je haujavuka miaka 18???
Ipo siku..je kama haijafika?Hilo ni swala jengine. Yeye atakuwa anacheza sehemu yake, kupata au kukosa ni mambo ya mungu. Lakini amini, anaetafuta ipo siku atapata.
Hapo sawa..ungekuwa mpenzi wangu na ningekuwa na shida,ningetaka bila shaka,hasa kama na mm huwa nakujali ktk shida.Sana tu yaani
Vipi na wewe unataka?
Sasa pesa unayopata unaitumia kwa kazi gani???Mwanaume lazima umhudumie mwanamke wako hata kama anafanya kazi
Sasa pesa unayopata unaitumia kwa kazi gani???
Sasa natoa mchango kwako ili nipate mrejesho gani kutoka kwako.?? Yaani wewe unanipa nn?Matumizi yangu binafsi au yetu sote ila mwanaume lazima na wewe utoe mchango wako kwa girlfriend wako sio kukaakaa tu kama zuzu
mpenzi wakoSasa natoa mchango kwako ili nipate mrejesho gani kutoka kwako.?? Yaani wewe unanipa nn?