Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Punguza kuokota okota,tafuta wa maana.
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Hii ni tabia ya wanaume wote, hata pastors wanatazama sio kosa. Hii inaitwa manhood teh teh
 
Acha kung'ang'ania mwanamume mwenye kero, ya nini!! Kidume kimarioo cha kazi gani. Mwanamume kijogoo ameshikilia kidushe chake anataka kuchomeka kila kona wa nini? kidume macho kodooo achana nacho. Simama wewe kama wewe, fanya kazi jitume .... wallah nakwambia utaheshimika lakini ukijifanya wewe ruba, utakufa umetoa mimacho unalaani kidume poleeee. pigana kike kukimbia utegemezi....unataka ufanyiwe na kununuliwa kila kitu lazima uteswe.

Wekend njema. poleni wote mnaobembelezea vimarioo.
Hii mada yako hebu fungulia sread ....
Out of topic

Ww jinsia gan lakini?
 
Back
Top Bottom