Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

1. Mchoyo

2. Mwenye ghubu

3. Mwenye dharau

4. Much know na asiyeshaurika

5. Ngumi mkononi

6. Control freak

7. Asiyejiamini

8. Malaya na mzinzi>>> chovyachovya

10. Mbahili

11. Msema hovyo

12. Asokuwa na staha

13. Misifa.com

14. Mvivu

15. Mchafu

16. Mario

17. Kutokuwa mtafutaji

18. Kutokuwa na msimamo wa maisha.....ikiwemo asojua nini anataka

19. Asojitambua


Nitarudi na mengine
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar


mwanaume akiangalia shepu ya mwanamke anaweza kujua uchi wake una laza gani na ukiona na concentrate sana jua anatamani amvue pichu
 
mwanaume mwongomwongo na asiyeweza kukeep promise.
Nyie mnapend tutimize ahadi za fedha na huduma tulizowatangaziwa wakat nyie mnatuweka cku 1 ya kuja geto , unafr iyo pesa itatoka wapi
 
Habari zenu wanawake,

Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.

Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
we unapenda pesa ama mwanaume kama hutaki bahili kaipende bank
 
Ni kweli unakuta janamke lina vaa chupi hadi inaweka ukungu alafu lina kusogezea usoni babe kissy my pussy.
 
Back
Top Bottom