dre4691
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 549
- 518
kutotuliaMhuni kwamaana ya kutotulia na mtu wake... Sio utundu wa chumbani
kutotuliaMhuni kwamaana ya kutotulia na mtu wake... Sio utundu wa chumbani
Hapo umenena mama anguMi sipendi mwanaume mwenye maneno mengi matendo sifuri.

Wajibu wa mwanaume unaujua wewe?!Habari zenu wanawake,
Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.
Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
Huyo akufai njoo kwangu mi sio macho!Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Peleka ujinga wako huko nan anakutakamimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Huyo akufai njoo kwangu mi sio machokodo!
daaa....aisee....we acha tu.promise na pesa hatoi teh teh....
Kha nimecheka kwelimimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Hahahahahahaha sasa hivi angekuwa segerea ila alifanya la maana kumpa kofi![]()
![]()
![]()
ungempasulia na chupa za vinywaji kabisaaa ...
She..nz..iiiii
Hawa ndio kero kubwa shosti unakuta vitu vingine vizuri vyote anavyo ila akili ya maisha zero, unaweza ukapata Bp kwa kuhangaika nayeMwanaume asiejituma kutafuta maisha.
Kwani wewe unaujua?Wajibu wa mwanaume unaujua wewe?!
Hahahhahahahaha shost mbona unatafuta sasa au unatafuta pesa tuu?mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
New Lesbian In Town.mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Asante kwa salamunawasalimu wanawake wote...
Hahahahahhaha baada ya kunyimwa k ndo unaporomosha matusi sasa ila kipindi unaomba hukuona kwamba nyonyo zina shida. UmetishaaaMie sipendi mwanamke anayeninyyima uchi sasa kama ananinyima si tuachane tu. kwanza k yenyewe ime deformed tepetepe, nyonyo yenyewe ata ile chuchu ya kufinya imezama ndani akhaaaa damn it
samahani naona nimepita kusiko
Kavamia tuu hakusoma kibao mlangoni kabla ya kuingiaKwani we ni mwanamke?

Umepanic mkuuPeleka ujinga wako huko nan anakutaka
wewe utakuwa huna TAKO ni FLAT SCREENUtakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar