Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Wala usinifikirie hivyo...na hata sina stress hata kiduchu...sasa vitu hivyo unavyotaka kufanyiwa..tena vidogo tu lkn vina maana sana..ukimfanyia mwanaume wako..nn kitatokea..???
...yaani yeye anakufanyia na wewe unamfanyia hivyo..unaonaje??

Katika utamaduni wetu wa kiafrika mwanaume ndio anaonekana/anajukumu/role ya kuhudumia familia/mpenzi /mke
 
Naona una stress!! it seems hata zawadi ya nguo ya ndani hujawahi kumnunulia mpenzi wako, vitu/vizawadi vidogo vidogo vina nafasi katika mahusiano, na kama mwanaume uliyekamilika kumjali/kumfurahisha/kumpendezesha mpenzi wako ni jambo la kawaida , Wanaume wengine wanafeel proud!! Naona hatujaelewana umeamua kwenda kwenye national level, im not talking about the national economy and alike! Hapa naongelea mtu na mpenzi wake.
Wont you feel proud if you do the same to him.??? Wont it be better than it being one sided???
 
To make the story short kama una mpenzi wako usimuhudumie kwa chochote subiri mpaka na yeye akuhudumie halafu utaleta mrejesho after 6 months.
 
Katika utamaduni wetu wa kiafrika mwanaume ndio anaonekana/anajukumu/role ya kuhudumia familia/mpenzi /mke
Tumeshayasariti mambo yetu ya kimila na tamaduni za kiafrika.mengi sana..hilo mnaliona tulishikilie kwa sababu lina wa favour...mila na desturi ngapi zimepuuzwa...yaani hiyo ndiyo isipuuzwe kwa sababu inawapa nyinyi wanawake unafuu ama.???
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Huwa tunasafisha kiwi ya macho bana
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Hahahaha
 
Tumeshayasariti mambo yetu ya kimila na tamaduni za kiafrika.mengi sana..hilo mnaliona tulishikilie kwa sababu lina wa favour...mila na desturi ngapi zimepuuzwa...yaani hiyo ndiyo isipuuzwe kwa sababu inawapa nyinyi wanawake unafuu ama.???

Wewe lipuuze uwaachie Wanaume kazi!
 
To make the story short kama una mpenzi wako usimuhudumie kwa chochote subiri mpaka na yeye akuhudumie halafu utaleta mrejesho after 6 months.
Bado hawajaelimika na hawana mapenzi ya kweli..nitamhudumia kama hajiwezi..kama anajiweza..nitamhudumia akiwa na tatizo..na pindi mm nikiwa na tatizo na yeye ana uwezo wa kunisaidia..akinisaidia..tutaenda sawa...asiponisaidia wakati huwa namsaidia...njia nyeupe aende..tena nitamsaidia kufagia na kutoa uchafu..ili apite vizuri.
 
U cant deny the power of money kwenye mahusiano.
 
No thank you! Kumnunua mtu na kumhudumia mpenzi wako vitu viwili tofauti.
Wewe utaona unahudumiwa...ila sisi wanaume tunaona tunakununua..kwa sababu tusipofanya hivyo..unapunguza upendo..papuchi unabania...sasa ili tivipate vitu hivyo tutoa hela kuvinunua...kwa sababu havipatikani for free.
 
Hehehehehe ...tunasema tena ngoja nikaangalie kule umesema nn

kwel wanawake wengi hawapendi uongo,kuna mda unaeza fanya kosa ambalo ukahisi hutasamehewa ila wakakusamehe....mm nlikuwa katikaahusiano ila nka cheat nkapata mtoto nje nkawa kila nkimwangalia girlfriend wangu najiona nina hatia balaa ikanibidi nimwambie ukwel japo nilijua angeniacha cha ajab alinambia nisiludie kosa hilo na akanisamehe kwakuwa nimekuwa muwaz mapema....mpaka leo nipo nae katika familia...ndipo nkaamin mwanamke anapenda mtu mkwel
 
Wewe utaona unahudumiwa...ila sisi wanaume tunaona tunakununua..kwa sababu tusipofanya hivyo..unapunguza upendo..papuchi unabania...sasa ili tivipate vitu hivyo tutoa hela kuvinunua...kwa sababu havipatikani for free.

Kumpa hela akasuke, kumpa hela aende shopping, kumchangia some bills, hela ya kula nk ni unamnunua? Nyinyi ndio wale wapenzi wenu wapo kama wametoka shimoni huelewi hata ushike wapi, wananuka vikwapa ila mnatamani wapenzi wa wenzenu mkiwaona barabarani wanapendeza! Wale mnaowatamani barabarani wamependeza sio kwa miujiza ni Huduma Mkuu.
 
mwanaume mwongomwongo na asiyeweza kukeep promise.

kwel wanawake wengi hawapendi uongo,kuna mda unaeza fanya kosa ambalo ukahisi hutasamehewa ila wakakusamehe....mm nlikuwa katikaahusiano ila nka cheat nkapata mtoto nje nkawa kila nkimwangalia girlfriend wangu najiona nina hatia balaa ikanibidi nimwambie ukwel japo nilijua angeniacha cha ajab alinambia nisiludie kosa hilo na akanisamehe kwakuwa nimekuwa muwaz mapema....mpaka leo nipo nae katika familia...ndipo nkaamin mwanamke anapenda mtu mkwel
 
No thank you! Kumnunua mtu na kumhudumia mpenzi wako vitu viwili tofauti.
Kwanza kitendo cha kuwaachia nyinyi wanawake kumiliki uchumi...ni huduma tosha..maana ile senti unayopata wewe kwenye kazi yako ilitakiwa aipate mwanaume wako..ndipo akupe wewe....wewe ukasema na mm nataka nipewe changu mapema kwa kufanya kazi...sasa sent yako ushapewa..unataka tena wkt mwanaume wako keshapungukiwa...

Unatakiwa kile chako mkichange na cha mwenzako..mjue cha kufanya....

Yaani mmeweshwa lkn bado mnang'ang'ana kuhudumiwa?? Neno Hilo likae mbali kabisa na fikra zenu...litokee kama dharura tu...ngonjera hizi...ziimbeni..mfumo dume ukirudi tena.
 
Cku moja boom limeingia ananiomba akabsti nyonyo zake!!!!!
nilcho mfanyia cio kzr kutype kwa uma asee
:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]:-]
 
Back
Top Bottom