Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Haya ndio Mambo yanayotukera Wanawake

Mwenyewe tabia za HOVYO HOVYO kama uongo, umalaya, asiyejali hisia za wengine, asiyejiheshimu, mbea mbea, anayetaka kuabudiwa.

pia mwanaume anayeongea pumba (non-intelligent)

asiyejiamini.
Housegirl umetisha
 
Mimi simpendi mwanamke anayeomba omba, Leo baby ninunulie dela kesho anataka sofa hujatulia nauli kwenda kwao kidogo nimlipie kakake ada loh!
 
Acha kung'ang'ania mwanamume mwenye kero, ya nini!! Kidume kimarioo cha kazi gani. Mwanamume kijogoo ameshikilia kidushe chake anataka kuchomeka kila kona wa nini? kidume macho kodooo achana nacho. Simama wewe kama wewe, fanya kazi jitume .... wallah nakwambia utaheshimika lakini ukijifanya wewe ruba, utakufa umetoa mimacho unalaani kidume poleeee. pigana kike kukimbia utegemezi....unataka ufanyiwe na kununuliwa kila kitu lazima uteswe.

Wekend njema. poleni wote mnaobembelezea vimarioo.
 
mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Jana2 tulikuwa wote pale makuti bar..,leo unakuja jf eti hawanihusu@miss Natafuta.. mungu anakuona..
 
Sipendi Mwanamke anaeomba Hela hovyo hovyo (mizinga) isiyoeleweka Women should work hard na usawa huu wa CCM
1475243340580.jpg
 
Mtaishia kusema huku tu, ila mkifika kitandani ukipigwa mkao wa choo cha shimo chaliiiii, nyieeee ongeeeni tu
 
Utakuta janaume lina mwanamke mrembo tuu sasa kama mmekaa bar anaanza kukodolea macho vichenchede vinavo pita... yaan macho juu juu. Juzi nilimpiga bonge la kofi mwanaume wangu kisa anashangaa sana madada wa bar
Ndo tulivyo ... Maana mnatumia Michina sana siku hizi... Yaani Apite Vera the boss lady usigeuke kweliiiiii...
 
Back
Top Bottom