Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Kwakweli usawa huu hatuna haja ya kutishiana kupendwa au kutopendwa, kila mbuzi ale usawa wa kamba yake, nikiwa na hamu zangu nitafuata bizaa sokoni.mimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
