KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mrembo kumbuka miraa inaongeza libido yaani mwanaume anazidiwa mpaka anakulilia machozi umpe pipi.Mlevi,mla miraa na mzururaji anakera zaidi..
Mrembo kumbuka miraa inaongeza libido yaani mwanaume anazidiwa mpaka anakulilia machozi umpe pipi.Mlevi,mla miraa na mzururaji anakera zaidi..
Mkibosho? salaleeeeee nio maana basi,ni FULL FLAT SCREEN.Sana tuuu alafu ni mkibosho pure... patia picha Na naipenda pesa mbaya![]()
![]()
Na hiyo miguu hapo ni wewe au?naona imekaa ki Kanjubhai.Sio kweli.... skiliza wimbo wa salome utaniona pale![]()
![]()
dildo zizuiwe tu![]()
![]()
![]()
Si anakupa pipi mti ya machungwa au?Nachukia wanaume waongo waongo halafu bahili asiejua kujali. Hasa vijana yaan ndio pasua kichwa aiseee. Unakuta mtu eti anaringia u-handsome,sasa uhandsome wako mm unanihusu nini ikiwa hata hunijali mxiewww!
Mwanaume anayeishi maisha ya kindege ndege yaan yeye usiku utakapomkutia ndio hapo hapo analala, hana muda na familia, pombe na wanawake kunywa kidogo tu, mwanaume anaenda bar anataka anywe mpaka hela iishe mfukoni , mwanaume mgomvi sina hamu nae hata kidogo, mwanaume mjuaji au mbabe aisee jifanye kama hujaniona , mwanaume kila sketi unaona nisaizi yako hakika unalaana,, mwanaume unayejisifia idadi ya wanawake uliodate nao ukimwi unakuita hakika, mwanaume bahili pita kushoto sina amani na wewHabari zenu wanawake,
Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume.
Mimi sipendi mwanaume mmbahili aiseee alafu hajui hata wajibu wake.
You can not run away by yourself,,Man its like Walter you will use it even in washing your Anu####smimi sipendi mwanaume yoyote wakae tu na maisha yao ya ubahili,uchoyo ,uuaji,unafiki,wizi,udanganyifu,sijali hawanihusu tena
Naona tu comment najua we ni Umekuwa sasa ,,Hizo ni za msingiMwanaume muongo,muhuni na mficha mambo anakera....
kiujumla sote tunamapungufu hivyo tujifunze tu namana ya kuchukuliana madhaifu tuliyonayo,Habari zenu wanawake,