marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Na je waweza kunipa pesa mm mwanaume wako nikibanwa na shida?? Wewe unayopesa..na mm huwa nakupa pesa ukiwa na shida tena bila kuombwa.Matumizi yangu binafsi au yetu sote ila mwanaume lazima na wewe utoe mchango wako kwa girlfriend wako sio kukaakaa tu kama zuzu