Tanzania ya zamani Dkt. Salim au Dkt. Mahiga wangekuwa kwenye Timu za Usuluhishi Gaza, ila sasa Mwanadiplomasia ni Tundu Lissu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Kiukweli heshima iliyojijengea Tanzania katika kulikomboa Bara la Afrika leo hii baadhi ya viongozi wetu wangekuwa kwenye Timu za Usuluhishi huko Mashariki ya Kati lakini ndio hivyo tena tumemezwa na Ufisadi. Walau Tundu Antipas Lissu pekee ndio anatuwakilisha huko Duniani.

Yaani unakuta nyakati tete kama hizi Mbowe ndio anaalikwa na Balozi wa Marekani. 😄😄😂

Mungu wa Mbinguni awabariki Mbowe na Tundu Lissu.
 
Kiukweli Heshima iliyojijengea Tanzania katika kulikomboa Bara la Afrika leo hii baadhi ya viongozi wetu wangekuwa kwenye Timu za Usuluhishi huko Mashariki ya Kati lakini ndio hivyo tena tumemezwa na Ufisadi. Walau Tundu Antipas Lissu pekee ndio anatuwakilisha huko Duniani.

Yaani unakuta nyakati tete kama hizi Mbowe ndio anaalikwa na Balozi wa Marekani. 😄😄😂

Mungu wa Mbinguni awabariki Mbowe na Tundu Lissu.
Huyo Dr. Maiga ni nani na anahusika na nini?
 
Sasa mkuu wa Tz waende kusuluhisha nn mashariki ya kati?
 
Lissu huyu huyu anaeshinda kwenye kordo za wazungu kuomba malazi na pesa za kuishi?

Yaan omba omba akawe msuluhishi si atanunuliwa 🤣
 
Huyo Dr. Maiga ni nani na anahusika na nini?

Alikuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa baadae akawa balozi wa kudumu umoja wa Mataifa akiiwakilisha Tanzania. Pia amekuwa msuluhishi kwa muda mrefu kwenye mgogoro wa Somalia aliteuliwa na Umoja wa Mataifa.
 
Kiukweli heshima iliyojijengea Tanzania katika kulikomboa Bara la Afrika leo hii baadhi ya viongozi wetu wangekuwa kwenye Timu za Usuluhishi huko Mashariki ya Kati lakini ndio hivyo tena tumemezwa na Ufisadi. Walau Tundu Antipas Lissu pekee ndio anatuwakilisha huko Duniani.

Yaani unakuta nyakati tete kama hizi Mbowe ndio anaalikwa na Balozi wa Marekani. 😄😄😂

Mungu wa Mbinguni awabariki Mbowe na Tundu Lissu.
Lissu ni akili kubwa sn
 
Kuna watanzania wawili ni mateka kule Gaza Chini ya Hamas.
Kwa hio utaenda kudiscuss na Hamas wawaachie?
Mateka wa EU wapo kibao tu mbna hawajaachiwa ? Au unadhani hamas watawapa hao mateka bure bure ? Mtawapa nini hao Hamas hadi waachie mateka ?
 
Kiukweli heshima iliyojijengea Tanzania katika kulikomboa Bara la Afrika leo hii baadhi ya viongozi wetu wangekuwa kwenye Timu za Usuluhishi huko Mashariki ya Kati lakini ndio hivyo tena tumemezwa na Ufisadi. Walau Tundu Antipas Lissu pekee ndio anatuwakilisha huko Duniani.

Yaani unakuta nyakati tete kama hizi Mbowe ndio anaalikwa na Balozi wa Marekani. 😄😄😂

Mungu wa Mbinguni awabariki Mbowe na Tundu Lissu.
Mwanadiplomasia wetu February kakwapua mijihela Nishati sasa kapelekwa Mambo ya Nje kuuza sura.
 
Kwa hio utaenda kudiscuss na Hamas wawaachie?
Mateka wa EU wapo kibao tu mbna hawajaachiwa ? Au unadhani hamas watawapa hao mateka bure bure ? Mtawapa nini hao Hamas hadi waachie mateka ?

Mbona mateka wanaachiwa wengi tu. Marekani katoa pesa mateka wake wanaachiwa. Sema kwa Sasa Hali imekuwa ngumu baada ya IDF kuigawanya Gaza kwa nusu.
 
Back
Top Bottom