hauko sahihi...subiri dada y ako agongwe mimbaWatajuta hapana oa used woman mwendo mdundo kula vigori wakafie huko ujana wao wameufuja wenyewee..
Nini dada! Akiwa binti yake ndio itanoga zaidihauko sahihi...subiri dada y ako agongwe mimba
Teh teh teh teh! mpambano bado unaendelea...!: single brothers vs single mothers ! Sijui nani refariiiiii!! Hahah! Ngoja leo nipiteee...!!!
Siku ukivunjika guu ndiyo utajua la mkuu huwa lina maana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli hii mada ni hot,ila ss mi namaliza kwa kusema ongeeni mpaka mbinuke ndo nazidi kuongeza upendo kwa niliye naye japo mnapoooonda....USICHOKILA USIKITIE HILA.
Bado cjakuelewa na hujanishawishi vya kutosha.Siku ukivunjika guu ndiyo utajua la mkuu huwa lina maana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu mara nyingi wanasingizia wanaume et alikua hashikiki mara mlevi sijui malaya kumbe tatizo liko kwao ila hawayasemi ya kwaoMzee elewa watu wanapozungumzia neno "Majority", yaani wengi wao. So, hoja kuwa wapo ambao wapo vizuri bado hakuhalalishi risky ya mtu kuingia kwenye commitment ambayo ina 80% chance ya kukutana na mabalaa. Nakuhakikishia kijana, kuna mambo ya kubahatisha bahatisha, lakini siyo mambo ya ndoa. Ni kweli huwezi kuwa na uhakika asilimia 100 na mchumba wako, lakini angalau inatosha kuchukua tahadhari pale unapokuta mtu ni single mother kutokana na uzoefu wa waliowengi na hawa single mothers.
Binafsi nimekuwa na uzoefu na single mother ambae alikuwa ameolewa kabisa na mwanamume, ila walikuja kuachana na mume wake. Kama ilivyokawaida yao, alikuwa ananipa malalamiko tu ya jinsi mtalaka wake alivyokuwa anamfanyia. Mwisho wa siku nilikuja kugundua kuwa ndoa yao ilivunjika baada ya huyu dada kufumaniwa na mume wake. Zaidi ya hilo alikuwa na demands fulani ambazo hazikuwa za kawaida, soo controlling. Nikanyoosha mikono kwa single mothers, nikafungua mlango nikasepa zangu nikaacha wengine nao waje wajichukulie uzoefu katika maisha yao
Dawa moja wapeni dudu tuu hapana oa...Kweli mkuu mara nyingi wanasingizia wanaume et alikua hashikiki mara mlevi sijui malaya kumbe tatizo liko kwao ila hawayasemi ya kwao
Inaonekana humu waathirika au single mothers ni wengi hawataelewa ila ukweli ndo huo.
Mimi ni mwanamke. Automatically hii mada inanihusu regardless ni mwathirika au la.Nawe ni mwathirika nini??
Wewe ndio unasema. wapo wanaowapenda na wanaoa. Kila mtu na anachopendaHakuna namna dudu mtapewa ila ndoa nooops..
Hapo sawa mkuuDawa moja wapeni dudu tuu hapana oa...
Wauulize walete ushuhuda kila 10 ni wawili waliobahatika kuolewa..! Si kwasababu kwamba wamezaa ila tabia ya kutaka Ku share makosa yake ya nyuma na mtu mpya ndiyo inachosha..Wewe ndio unasema. wapo wanaowapenda na wanaoa. Kila mtu na anachopenda
Hata kama ni kwa idadi chache wapo wanaolewa.Wauulize walete ushuhuda kila 10 ni wawili waliobahatika kuolewa..! Si kwasababu kwamba wamezaa ila tabia ya kutaka Ku share makosa yake ya nyuma na mtu mpya ndiyo inachosha..