KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Wanawake used ni shida. Jiulizeni kwanini waliachika wengi wao ni mama huruma..!
....acha uvivu!..imeandikwa,enendeni mkaijaze dunia!njoo kwangu ,ila nina watoto watatu,mimi sijaachika bado though
ulitaka nizae wangapi?....acha uvivu!..imeandikwa,enendeni mkaijaze dunia!
...the Holy number,7!ulitaka nizae wangapi?
Pole sana mkuu ila nawe mwanamke mwenye watoto wanne tena kila mmoja na babake ulijilipuaje hapo? You are a risk taker mkuu.Hata mimi nilikuwa nae, ila jana usiku nilimfuma na mwanaume mwingine. Nikaongea nae na kumuonya juu ya 'staili' ya maisha anayoishi nayo ya kubadilisha wanaume kila mara na ajabu ana watoto wanne lakini kila mtoto na baba yake. Niliamua kuachana nae kabisa jana hiyo hiyo, na nimekaa nikafikiri sitokuja kuoa wala kuwa na mwanamke aliyezaa watoto tayari maana nimegundua wanakuwa hawana mapenzi ya dhati na hawaaminiki kabisa. Imeniuma sana.
Hapana Mkuu, hiyo yote ilikuwa ni upendo tu ulionifanya nimpende na kuamini kuwa anaweza kubadilika ila nilichokiona hakistahili kabisa.Pole sana mkuu ila nawe mwanamke mwenye watoto wanne tena kila mmoja na babake ulijilipuaje hapo? You are a risk taker mkuu.
Single father wengi ni understanding kwa kweli ingawa mimi si mmoja waoVp kuhusu single father?
Jamaa kaamua kuwadhalikisha kweli eti used women?? Mkuu hata kama ni hasira duuuhUSED WOMEN! Doooooh?