Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Duh...Hiki kitu kimenikuta takriban miezi9 hivi..nibiniti mmoja nayeye amezaa alaf akatelekezwa siku moja kwenye mitandao hiihii ya kijamii akaona picha zang akadai kanipenda Na anamapenzi ya dhati kwangu..nlishangaa sana ila mwsho Wa siku nlikuja nkamtema Na hakuamni kilichotokea ....Wanawake wengine pumbavu sana...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mzee elewa watu wanapozungumzia neno "Majority", yaani wengi wao. So, hoja kuwa wapo ambao wapo vizuri bado hakuhalalishi risky ya mtu kuingia kwenye commitment ambayo ina 80% chance ya kukutana na mabalaa. Nakuhakikishia kijana, kuna mambo ya kubahatisha bahatisha, lakini siyo mambo ya ndoa. Ni kweli huwezi kuwa na uhakika asilimia 100 na mchumba wako, lakini angalau inatosha kuchukua tahadhari pale unapokuta mtu ni single mother kutokana na uzoefu wa waliowengi na hawa single mothers.

Binafsi nimekuwa na uzoefu na single mother ambae alikuwa ameolewa kabisa na mwanamume, ila walikuja kuachana na mume wake. Kama ilivyokawaida yao, alikuwa ananipa malalamiko tu ya jinsi mtalaka wake alivyokuwa anamfanyia. Mwisho wa siku nilikuja kugundua kuwa ndoa yao ilivunjika baada ya huyu dada kufumaniwa na mume wake. Zaidi ya hilo alikuwa na demands fulani ambazo hazikuwa za kawaida, soo controlling. Nikanyoosha mikono kwa single mothers, nikafungua mlango nikasepa zangu nikaacha wengine nao waje wajichukulie uzoefu katika maisha yao
Hahaaa!!!! Eti waje wachukue uzoefu
 
hahahah sasa kama una uwezo wa kupata vigori kwa nini ulimaproach huyo single mom?au na wewe ulitaka mtelemko?
Nilitaka kuonja, kusikia baada ya kupitisha toto inabaki na radha kiasi gani??
 
Ni rahisi Kurejea kwa aliezaa nae. Wengine wapo radhi wawe michepuko kwa ma ex wao. Mimi binafsi yamenikuta
 
mkuu wanawake waliowahi kuzaa na kuachika ni pasua kichwa aisee

Me mwenyewe ninae ana watoto 2 na wangu mmoja jumla 3 ananisumbua balaa natafuta mbinu ya kuachana nae sabb msumbufu pia ananipa mzigo wote wa malezi wakati nae mfanyakazi naona bora nilee wangu mmoja yye akaishi na wawili watoto wake
Hivi na ww ilikuwaje ukazaa nae ?
 
Hata mimi nilikuwa nae, ila jana usiku nilimfuma na mwanaume mwingine. Nikaongea nae na kumuonya juu ya 'staili' ya maisha anayoishi nayo ya kubadilisha wanaume kila mara na ajabu ana watoto wanne lakini kila mtoto na baba yake. Niliamua kuachana nae kabisa jana hiyo hiyo, na nimekaa nikafikiri sitokuja kuoa wala kuwa na mwanamke aliyezaa watoto tayari maana nimegundua wanakuwa hawana mapenzi ya dhati na hawaaminiki kabisa. Imeniuma sana.
Mwanamke ana watt 4 kila mtt na baba yake?[emoji15]
Na wewe ukaona ni sawa kua nae!?? No no
 
Hata mimi nilikuwa nae, ila jana usiku nilimfuma na mwanaume mwingine. Nikaongea nae na kumuonya juu ya 'staili' ya maisha anayoishi nayo ya kubadilisha wanaume kila mara na ajabu ana watoto wanne lakini kila mtoto na baba yake. Niliamua kuachana nae kabisa jana hiyo hiyo, na nimekaa nikafikiri sitokuja kuoa wala kuwa na mwanamke aliyezaa watoto tayari maana nimegundua wanakuwa hawana mapenzi ya dhati na hawaaminiki kabisa. Imeniuma sana.
Kama hana mtt basi kaisha toa mimba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom