Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Haya mapenzi ya single mothers ni unafiki mtupu

Kuna jambo mkuu ni wakorofi etii
Umeshatambua ni wakorofi. Cha kufanya ni kutafuta asiye na mtoto ili muendane nae...waachie wanaojua kuwatreat..kuwatuliza..
kuwapa upendo mpaka
wakabadilika.
Kuwaponda ni kudhalilisha jamii nzima kwasababu hata nyie mnahusika na hiyo hali waliyonayo.
 
Hiyo lugha inatumika kwasababu baada ya hapo unasepa..kwa hiyo ulivyoingia pekupeku ulitegemea nini kiote pale kama sio mimba? Mmeamua wenyewe kutengeneza mimba..yeye kapanua miguu na wewe umefurahia na kugugumia mpaka mate yamekutoka. Kwanini usingemwambia bana miguu sipendi unavyoitanua hivyo.
Haya..mimba imeingia unaondoka kimoja. Sio lazima umuoe lakini ile mimba na yule mtoto atakayezaliwa ni jukumu lako mpaka mwisho. Na kama hukutaka hayo majukumu wewe kama MWAUME MKAMILIFU uliyepewa cheo na jukumu la kuwa KICHWA CHA FAMILIA (familia si lazima uwe umeoa) kwenda pekupeku tu kwa mtu ambae huna future nae ni UZEMBE ULIOPITILIZA. Na mwanaume yoyote anayejitambua ikitokea hiyo mimba isiyotarajiwa (ingawa mlijua kabisa matokeo yake mnasema haikutarajiwa) atawajibika kutokana na matendo yake. Kukataa hiyo mimba au kutotaka kumlea huyo mtoto basi hata huo ukichwa wa familia uliopewa na Mungu haukufai. Bora tu uwe MKIA!
Unachanganya hapo hakuna familia, lakini pia unatumia sana singularity inayomtaja mwanaume tu km mwenye majukumu ya kulea mtoto

Hili jambo likitokea demand ya mwanamke nikuona unamuoa ukikataa bifu mara akuzilie hataki uhusike na mtoto hasa km anakipato km hana atakukomoa kwa matumizi ovyo ya mtoto au ata kumualika mume mwingine wakatumie pesa unazotoa.

Shida nyingine ni kubeba their backs kwa uhusiano mpya hii tatizi sugu.
 
Sikuwa na mtazamo hasi na hawa viumbe walikwisha kutumika (single mothers).

Siku zote nilidhani huwa wanasingiziwa hivyo siku na shaka juu yao. Ila saaa nimeelewa si kwa wote ila mara nyingi ukikuta mama aliyezalishwa alafu akatelekezwa ujue hapo kuna jambo.

Wengi wao ni wanafiki sana sitaki kujiingiza kwenye mapenzi yao yaliyopita maana sikuyashuhudia ila naomba kutumia uzoefu wa hawa wawili niliowahi kuwa na uhusiano nao hivi karibuni.

Wakwanza alikuja nilitongoza mwenyewe baada ya kuwa amejiridhisha kuwa sikuwa ba mtu, alidanganya vitu kibao akimtuhumu jamaa aliyemwacha eti alikuwa katiri na mnyanyasaji ila badae nimeishi naye kwa muda nikaja kugundua alitaka anipumzikie huku akiwa ni tabia zake za ajabu licha ya kuwa ni mfanyakazi ila mvuvi na spenda na mwenye tamaaa zinazompelekea kuwa mzinzi ajabu sijawahi ona.

Baada kuwa naye alielekeza matumizi ya mwanaye kwangu sikuona vibaya ika sasa issu ikaja pale nilipotaka tuzae akagoma nikaja kugundua alitoa mimba yangu nilichukia kiasi cha kutaka kumdhuru ila namshukru Mungu kwa kunipunguza jazba nikampiga chini.

Shida za hawa wamama huwa wanatafuta mtu wa kuwasaidia kulea watoto wao na siyo kuwa wanamapenzi na wenza wao kwake haoni umuhimu wa kuzaa tena au kwa haraka huku mwanaume akihitaji mtoto wa uzao wake mara nyingi wakigoma huibua hisia za ubaba wa kambo kwa mtoto wa nje.

Tukio la pili ni kama lile la kwanza the same scenario imetokea huyu mbinafsi ajabu kwake yeye apendwe na mtoto wake hataki kusikia issue ya kuzaa kwasasa kwa uzoefu wa kwanza nimestukia mapenzifake anayojidai kunionesha.

Nimewahi kumnasa akisema haitaji mtoto sababu tayari anaye badae nikamwambia badae basi tubaki kama mtu na mchepuko akawa mkali hao mimi nina malengo na wewe na uhusiano huu sasa nimeamua sitamwabia ila sasa ndiyo hivyo automatically amejifanya mchepuko mwenyewe.

Hawa viumbe ukatae na ukubali kuachika kwao au kuzalishwa na kukimbiwa achilia mbali waliofiwa na wanaume wao wengi wao wanatabia mbaya sana na kuachika kwao au kuzalishwa ilikuwa ni alama ya tabia zao au kukomolewa kwa tabia zao chafu si wote ila wengi wao ni wakuogopa sana kama ukoma.

Nawasihi sana vijana hasa ambao hamjaoa kama mimi be careful with used women kama ni msaada wa dudu wapeni kwa maana ya kuwa burudisha ila siyo wa kuoa.

Hakika sasa nimeamini usemi wa mwanajamvi mmoja aliwahi kusema kuwa baba yake aliwahi kumuasa kuwa aogope kuoa mwanamke mwenye mtoto maishani mwake.

Lengo si kudhalilisha ila kuonyesha uzoefu wangu kwa wamama waliotumika.
Aisee kila mtu na bahat yake hv mnaviita v dent vya mizinga sanaaaa.....bora walio hitimu wakakujua mtaan hata miez miwili hv hawa ndio watamu......ila hiv vibich vya chuo na form six hukoo aiseee n vya kupita na kuburuza tuu maana bado vinajifunza ukiweka kambi hukon stress tuu....ah ah ah ila wa mama walio zaa tayar wanajua kubembelezaa wacha niwapasueee tuuu

Sio dem katkat ya game anaanza toa sheeeda zake......hawa wa mama waweza pasua hata mwez yupo cul hapo mwenyewe ndio inabd ushtuke hata kumtoa sasa
 
Kwa kitu kibichi mtu unaona value for money...! Rahaa zake na bazazi limoja huko nikalee toto huku mpokea utamu amekaliza matako chini nani kasema.

Pia ukumbuke mkuu hapo unakula regular super ilishachotwaaa. Shida yao wengi wanakuja na backs zao kwenye new relationship.
 
kwani wao wanajipa mimba wenyewe si wanapewa na wanaume. wanaume ndio chanzo ila wanaonekana tatizo ni single mother
Mwanaume kusababisha mimba ni mudq wote ila mwanamke ni siku 3 mpka 5 kwa mwezi iweje unajua hivyo na uende kuchukua mimba kwa mtu ambaye hajakuomba mzae.
 
Unachanganya hapo hakuna familia, lakini pia unatumia sana singularity inayomtaja mwanaume tu km mwenye majukumu ya kulea mtoto

Hili jambo likitokea demand ya mwanamke nikuona unamuoa ukikataa bifu mara akuzilie hataki uhusike na mtoto hasa km anakipato km hana atakukomoa kwa matumizi ovyo ya mtoto au ata kumualika mume mwingine wakatumie pesa unazotoa.

Shida nyingine ni kubeba their backs kwa uhusiano mpya hii tatizi sugu.
Jukumu la kulea mtoto ni la mwanamke na mwanaume. Na kila mtu anajukumu lake hapo. yeye anatakiwa kutekeleza ya kwake na mwanaume anatakiwa atekeleze ya kwake. Na si lazima umuoe hata kama analazimisha. Na pia si lazima umpe hela mkononi kama una wasiwasi hazitatumika kwa mtoto wako.
Am sorry to say this: Mwanaume anapaswa kuhakikisha malazi, chakula na masomo kwa mtoto ametekeleza. Kama hutaki kumpa hela..peleka chakula, kama anasoma kalipe feea huko shuleni na wewe uendelee na mambo yako.
Na sijui wewe maana ya familia nini kwa upande wako. Mmeshatengeneza kiumbe kingine hapo halafu unasema familia hakuna? Wewe ndio utakuwa umeivunja hiyo familia kwa kutotekeleza wajibu wako!
YEYE kulea mimba..kumhudumia mtoto..kuhakikisha amekula (chakula ulichonunua wewe) amelala vizuri, shule ameenda(ambayo fees umelipa wewe), amevaa vizuri (nguo ulizonunua wewe ingawa na yeye atanunua pia)...Hayo ndio majukumu yake. Sasa sijui wewe ungependa mtoto wako aishi vipi kama hujafanya yote hayo? Wote muwajibike kwa UZEMBE wenu. Tekeleza wajibu wako uone kama atalalamika. Na sheria za malezi zipo wazi kabisa!
 
Mwanaume kusababisha mimba ni mudq wote ila mwanamke ni siku 3 mpka 5 kwa mwezi iweje unajua hivyo na uende kuchukua mimba kwa mtu ambaye hajakuomba mzae.
ni jukumu lenu wote kuhakikisha mnajikinga halafu usinglemother unasababishwa na vingi wakati mwingine kufiwa na mume pia.
 
Kwa kitu kibichi mtu unaona value for money...! Rahaa zake na bazazi limoja huko nikalee toto huku mpokea utamu amekaliza matako chini nani kasema.

Pia ukumbuke mkuu hapo unakula regular super ilishachotwaaa. Shida yao wengi wanakuja na backs zao kwenye new relationship.
Hawa watu wazima weng wanajua mahabaa ndugu yangu....28+ hv ...mmmy b na bahat mbaya na vibichi vinavyi kuja kwangu kaz yao n kuvikaza na kuvitoa hakuna cha zaid.......ila mtu mzima huwa na enjoy ..my b utofaut wangu na wako n kwamba ulikuwa unataka nke au kuzalisha kitu ambacho n very sensitive..yahitajia maandaliz kibao na kwa umakin flan ....bado sipo hukoo. Ila watu wazima mahaba wanajua nawapongeza kwa experience zao
 
ni jukumu lenu wote kuhakikisha mnajikinga halafu usinglemother unasababishwa na vingi wakati mwingine kufiwa na mume pia.
Kwenye thread kuna exceptional za wajane, na genuine ones pia siyo wote ingawa wengi wao ni majanga.
 
Mhhhh haya bhana, ila mwanaume ana maamuz ya mwisho. Waambie vijana wakomae kukataa

Ndicho tunachokifanya hapa, tunawaelekeza wakae mbali na hawa single mothers. Na kama wanaelewa somo bila shaka watakaa nao mbali, ikizingatiwa kuwa na wewe pia umetoa huo ushauri
 
Sijui ndio hatujuani umri yetu, kwa mimi nina miaka 33 na vitoto vya form six ni kati ya miaka 18-19. Hawa wa sasa , ingawa nawaona madereva wa bodaboda wanatake advantage ya usafiri wao lakini kwa mimi naona wanahitaji malezi ya jamii tuliyomzunguka. Please tuache watoti wa watu wakue.
 
Ni kweli kabisa kaka, hawa watoto wadogo tuwaache wakue, lakini tutoe wito kwa wazazi kuplay role yao kama parents vizuri kwa kuwalea watoto wao hasa wa kike vizuri. Utakuta mzazi anaona mtoto wake anakaumbo fulani, anakuwa proud na kuanza kumnunulia tunguo fulani amazing.. tunaonesha maungo yake. Mtoto anashinda kutwa nzima anafuatilia tamthilia za mapenzi za kifilipino. Unatarajia huyu mtoto atakaa asubiri umri wake ufike?, unafikiri mabazazi watasubiri haka katoto umri wake ufike??, kimsingi umri ni abstract (akufikirika), kinachoonekana ndicho chenye impact kubwa zaidi. Mtoto wako anaonekanaje na anabehave vipi ndicho kitakacho either attract hawa mabazazi au kitawa deter.
 
Ndicho tunachokifanya hapa, tunawaelekeza wakae mbali na hawa single mothers. Na kama wanaelewa somo bila shaka watakaa nao mbali, ikizingatiwa kuwa na wewe pia umetoa huo ushauri
pamoja Mkuu.
 
Jamani simuungi mkono mtoa mada,kakaangu ameoa mw.mke wa hivyo na kafunga ndoa,na ndoa yao iko na furaha ajabu,mw.mke anaheshima cjapata kuona,na mimi ninaye ambaye anamtoto ki ukweli yuko vizuri ni msikivu hatari,shida ya hawa mabinti wa cku hizi wana mambo mengi.
 
Angalau ushuhuda umepatikana.
 
Jamani simuungi mkono mtoa mada,kakaangu ameoa mw.mke wa hivyo na kafunga ndoa,na ndoa yao iko na furaha ajabu,mw.mke anaheshima cjapata kuona,na mimi ninaye ambaye anamtoto ki ukweli yuko vizuri ni msikivu hatari,shida ya hawa mabinti wa cku hizi wana mambo mengi.
Kama umesoma vizuri mada utaona kuna some exceptions..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom