bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Sikuwa na mtazamo hasi na single mothers. Siku zote nilidhani huwa wanasingiziwa hivyo siku na shaka juu yao. Ila sasa nimeelewa si kwa wote ila mara nyingi ukikuta mama aliyezaa alafu akatelekezwa ujue hapo kuna jambo.
Wengi wao ni wanafiki sana sitaki kujiingiza kwenye mapenzi yao yaliyopita maana sikuyashuhudia ila naomba kutumia uzoefu wa hawa wawili niliowahi kuwa na uhusiano nao hivi karibuni.
Wa kwanza alikuja nilitongoza mwenyewe baada ya kuwa amejiridhisha kuwa sikuwa na mtu, alidanganya vitu kibao akimtuhumu jamaa aliyemwacha eti alikuwa katili na mnyanyasaji ila baadae nimeishi naye kwa muda nikaja kugundua alitaka anipumzikie huku akiwa ni tabia zake za ajabu licha ya kuwa ni mfanyakazi ila mvivu na spenda na mwenye tamaa zinazompelekea kuwa mzinzi ajabu sijawahi ona.
Baada kuwa naye alielekeza matumizi ya mwanaye kwangu sikuona vibaya ika sasa issue ikaja pale nilipotaka tuzae akagoma nikaja kugundua alitoa mimba yangu nilichukia kiasi cha kutaka kumdhuru ila namshukru Mungu kwa kunipunguza jazba nikampiga chini.
Shida za hawa wamama huwa wanatafuta mtu wa kuwasaidia kulea watoto wao na siyo kuwa wanamapenzi na wenza wao kwake haoni umuhimu wa kuzaa tena au kwa haraka huku mwanaume akihitaji mtoto wa uzao wake mara nyingi wakigoma huibua hisia za ubaba wa kambo kwa mtoto wa nje.
Tukio la pili ni kama lile la kwanza the same scenario imetokea huyu mbinafsi ajabu kwake yeye apendwe na mtoto wake hataki kusikia issue ya kuzaa kwa sasa kwa uzoefu wa kwanza nimestukia mapenzi fake anayojidai kunionesha.
Nimewahi kumnasa akisema haitaji mtoto sababu tayari anaye badae nikamwambia basi tubaki kama mtu na mchepuko akawa mkali hao mimi nina malengo na wewe na uhusiano huu sasa nimeamua sitamwabia ila sasa ndiyo hivyo automatically amejifanya mchepuko mwenyewe.
Hawa viumbe ukatae na ukubali kuachika kwao au kuzalishwa na kukimbiwa achilia mbali waliofiwa na wanaume wao wengi wao wana tabia mbaya sana na kuachika kwao au kuzalishwa ilikuwa ni alama ya tabia zao au kukomolewa kwa tabia zao chafu si wote ila wengi wao ni wakuogopa sana kama ukoma.
Nawasihi sana vijana hasa ambao hamjaoa kama mimi be careful with these women kama ni msaada wapeni kwa maana ya kuwa burudisha ila siyo wa kuoa.
Hakika sasa nimeamini usemi wa mwanajamvi mmoja aliwahi kusema kuwa baba yake aliwahi kumuasa kuwa aogope kuoa mwanamke mwenye mtoto maishani mwake.
Lengo si kudhalilisha ila kuonyesha uzoefu wangu kwa wamama waliotumika.