Utakuwa muhanga wewe, kama umesoma vizuri nimesema hapo mwanzo nilidhani ni wanawake km walivyowengine, afu utambue sikuwahi kuwatongoza zaidi ya wao kunitongoza kwa gia ya kuwa wanaweka ya moyoni mwao kwangu.
Sikuona why should i judge them?? Binfsi sikuwahi kuwaona km tatizo even to allow the second attempt i thought yule wa kwanza ana matatizo binafsi but kwa uzoefu na ushuhuda wa hawa wawili nimejionea pamoja na mifano ya wanajamvi walio changia.
My advice to single mothers, you need to go back to yr basics mtaolewa mtu mama unataka kujifanya kigori ata mwanao uliyezaa atajifunza nini??
Another issue iko hivi kumhudumia mwanao ni uamuzi wangu na itakuwa malipo ya wema na upendo unaonipa otherwise sina sababu ya kukupenda na kijitolea kubeba mzigo wa matatizo ya makosa yako.