MimiT
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 599
- 388
Ni ushuhuda pia. Kila mtu na experience yake.Ushuhuda wa mmoja kumi wanashuhudia maovu yao..

Sawa,lakini ningetamani kujua umri wako ili nilinganishe na unachokiseKama umesoma vizuri mada utaona kuna some exceptions..
Sawa ila kaa ukijua na ss wanaume tunamajanga yetu na tunawavuruga hawa wanawakeUmri qa nini elewa mimi ni mtu mzima onatosha..!
Umeongea kweli,nina rafiki yangu nafanya naye kazi hataki kusikia habari ya hiv vibinti vidogo,yy anakuambia uwezo wao wa kufikiria ni mdogo na haviwezi mikiki ya maisha.Aisee kila mtu na bahat yake hv mnaviita v dent vya mizinga sanaaaa.....bora walio hitimu wakakujua mtaan hata miez miwili hv hawa ndio watamu......ila hiv vibich vya chuo na form six hukoo aiseee n vya kupita na kuburuza tuu maana bado vinajifunza ukiweka kambi hukon stress tuu....ah ah ah ila wa mama walio zaa tayar wanajua kubembelezaa wacha niwapasueee tuuu
Sio dem katkat ya game anaanza toa sheeeda zake......hawa wa mama waweza pasua hata mwez yupo cul hapo mwenyewe ndio inabd ushtuke hata kumtoa sasa
Sawa,lakini ningetamani kujua umri wako ili nilinganishe na unachokise
Aisee kila mtu na bahat yake hv mnaviita v dent vya mizinga sanaaaa.....bora walio hitimu wakakujua mtaan hata miez miwili hv hawa ndio watamu......ila hiv vibich vya chuo na form six hukoo aiseee n vya kupita na kuburuza tuu maana bado vinajifunza ukiweka kambi hukon stress tuu....ah ah ah ila wa mama walio zaa tayar wanajua kubembelezaa wacha niwapasueee tuuu
Sio dem katkat ya game anaanza toa sheeeda zake......hawa wa mama waweza pasua hata mwez yupo cul hapo mwenyewe ndio inabd ushtuke hata kumtoa sasa
Falaa kweli.mleta uziihahahah sasa kama una uwezo wa kupata vigori kwa nini ulimaproach huyo single mom?au na wewe ulitaka mtelemko?
NIMEKUPENDA BUREEEESingle mothers/!used women hii neno anayelitamka ni mwanaume tena mwanaume mwenyewe Sio mkamilifu mwanaume dhaifu kabisaaa
I'm a single mother na nilipendana na janaume Kama wewe unayetapika "single mother/used women" bila mpangilio wa sauti alikuwa hana kazi kamaliza chuo kakaa mtaani Mwaka bila kazi me nimemaliza chuo nikamkuta anasota na barua zake za maombi ya kazi.
Me nikapata kazi maisha yakasonga kila mtu yuko kwa wazazi wake. Tukawa tunagegedana akanitia mimba nikamwambia akasema niitoe yeye hana kazi tutaleaje mtoto . From that day nilimchukia nikamwambia sitowi. nikalea mimba nikazalia home Mwaka wa pili huo tangu amalize chuo jamaa hana kazi .
Akaja kupata kazi six month after me kujifungua huko Arusha toka hapo sijawahi kuona simu yake wala msg yake na Mwaka Jana karudi tena mtaani kula msoto kazi ameharibu katimuliwa hadi Leo Hana mke pengine ana watoto wengine huko mitaani kawatelekeza na mama zao wanaishia kuitwa used / single mothers
Sasa janaume lengine linafunua midomo ati single mother / used muwe na akili tumamu si muende mkagegede hao wanaochokolewa mimba 30 kabla yako haijapita akija kwako unadhani Sio used mnaishia Kumaliza sole za Viatu Kwa kina dr Mwaka na vizazi vimewageuka shingo kwa kuchokolewa mimba zisizo na idadi
AminaNIMEKUPENDA BUREEEE
STRONG WOMAN ULIYETETEA UHAI WA MTOTO ASIYE NA HATIA. Na mtoto huyo atakuja kufanikiwa kwa uwezo wa Mungu.
Achs ubinafisi sema uhalisia isiwe kwa kuwa yalikukuta, hapo ndipo mnapokosea kuleta backs zenu kwa uhusiano mpya.Single mothers/!used women hii neno anayelitamka ni mwanaume tena mwanaume mwenyewe Sio mkamilifu mwanaume dhaifu kabisaaa
I'm a single mother na nilipendana na janaume Kama wewe unayetapika "single mother/used women" bila mpangilio wa sauti alikuwa hana kazi kamaliza chuo kakaa mtaani Mwaka bila kazi me nimemaliza chuo nikamkuta anasota na barua zake za maombi ya kazi.
Me nikapata kazi maisha yakasonga kila mtu yuko kwa wazazi wake. Tukawa tunagegedana akanitia mimba nikamwambia akasema niitoe yeye hana kazi tutaleaje mtoto . From that day nilimchukia nikamwambia sitowi. nikalea mimba nikazalia home Mwaka wa pili huo tangu amalize chuo jamaa hana kazi .
Akaja kupata kazi six month after me kujifungua huko Arusha toka hapo sijawahi kuona simu yake wala msg yake na Mwaka Jana karudi tena mtaani kula msoto kazi ameharibu katimuliwa hadi Leo Hana mke pengine ana watoto wengine huko mitaani kawatelekeza na mama zao wanaishia kuitwa used / single mothers
Sasa janaume lengine linafunua midomo ati single mother / used muwe na akili tumamu si muende mkagegede hao wanaochokolewa mimba 30 kabla yako haijapita akija kwako unadhani Sio used mnaishia Kumaliza sole za Viatu Kwa kina dr Mwaka na vizazi vimewageuka shingo kwa kuchokolewa mimba zisizo na idadi
Haaa watoto wanne kila mtoto na baba ake???Hata mimi nilikuwa nae, ila jana usiku nilimfuma na mwanaume mwingine. Nikaongea nae na kumuonya juu ya 'staili' ya maisha anayoishi nayo ya kubadilisha wanaume kila mara na ajabu ana watoto wanne lakini kila mtoto na baba yake. Niliamua kuachana nae kabisa jana hiyo hiyo, na nimekaa nikafikiri sitokuja kuoa wala kuwa na mwanamke aliyezaa watoto tayari maana nimegundua wanakuwa hawana mapenzi ya dhati na hawaaminiki kabisa. Imeniuma sana.
Santeeeee......!!!!.Single mothers/!used women hii neno anayelitamka ni mwanaume tena mwanaume mwenyewe Sio mkamilifu mwanaume dhaifu kabisaaa
I'm a single mother na nilipendana na janaume Kama wewe unayetapika "single mother/used women" bila mpangilio wa sauti alikuwa hana kazi kamaliza chuo kakaa mtaani Mwaka bila kazi me nimemaliza chuo nikamkuta anasota na barua zake za maombi ya kazi.
Me nikapata kazi maisha yakasonga kila mtu yuko kwa wazazi wake. Tukawa tunagegedana akanitia mimba nikamwambia akasema niitoe yeye hana kazi tutaleaje mtoto . From that day nilimchukia nikamwambia sitowi. nikalea mimba nikazalia home Mwaka wa pili huo tangu amalize chuo jamaa hana kazi .
Akaja kupata kazi six month after me kujifungua huko Arusha toka hapo sijawahi kuona simu yake wala msg yake na Mwaka Jana karudi tena mtaani kula msoto kazi ameharibu katimuliwa hadi Leo Hana mke pengine ana watoto wengine huko mitaani kawatelekeza na mama zao wanaishia kuitwa used / single mothers
Sasa janaume lengine linafunua midomo ati single mother / used muwe na akili tumamu si muende mkagegede hao wanaochokolewa mimba 30 kabla yako haijapita akija kwako unadhani Sio used mnaishia Kumaliza sole za Viatu Kwa kina dr Mwaka na vizazi vimewageuka shingo kwa kuchokolewa mimba zisizo na idadi
Tangu umeanza mahusiano umepata mabikira wangapi. Au kama umeoa huyo mkeo ulimkuta bikira? Kama sio basi na yeye ni used tu. Once bikira ikitoka huyo mwanamke ni used tu.Used women are used
Sijamuattack mkuu hapa tunalumbana tu kwa hoja.Wewe jibu hoja, acha kumu attack mtu. Kufanya attack kwa mtoa hoja ni dalili ya kuishiwa hoja.