Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Mtoa mada mbona uliyoweka kwenye uzi umeyatunga, umegeuza geuza maneno kama shoga vile
Misri kampuni yao ya EgyptAir wamenunua hizo 24 mwaka janaMkuu naomba nitajiae nchi moja ya Africa ambayo inamiliki AirBus A220 - 300 or CS series 300..........................
Misri kampuni yao ya EgyptAir wamenunua hizo 24 mwaka jana. Yaani Ndege ishirini na nne.Ntatoa laki sita unitajie nchini inayomiliki CS300/A200-300 kwa Afrika ukitoa TZ ntakupa na kujitoa JF
Kuna mtu anamzidi mkuu wa mkoa wa Tabora kwa uongo mkuu?Pamoja na kwamba jiwe ni muongo wa kutupwa, ila hiyo namba 3 ya mleta mada sidhani kama amesema hivyo. Pamoja uongo wake jiwe, kwa hilo namtetea.
kama kitambulisho nambamoja cha machinga ni cha mkuu unafikiria anaweza kuwa na mawazo gani?hii haina tofauti na ombaomba Matonya kutamba kuwa wa kwanza kununua vitz miongoni mwa ombaomba wote nchini!
MADNESS!!
Ndege bado ni mpya kabisa huku orders nyingi zikitoka ndani ya ulaya na marekani. Hii ndege haina hata miaka mitatu sokoni.. bado mpya.La kujiuliza ni kwanini nchi zingine za Africa hazijanunua hiyo ndege.
Yawezekana wamefanya home work ya Cost-Benefit analysis wakaona haina haja ya kununua ndege hiyo.
Misri kampuni yao ya EgyptAir wamenunua hizo 24 mwaka jana. Yaani Ndege ishirini na nne.
Nafikri umejichanganya mahali. Kwa upande wa dunia ndege hizi zimeanz akutumika mwaka 2016 na shirika la ndege la airbaltic. Ndio la kwanza kabisa kupokea hizi ndege.
Tanzania ni ya kwanza kwa upande wa afrika. Mpaka sasa ni nchi mbili tu africa ambazo zina miliki hii ndege .. tanzania na egypt.. egypt bado hazija wasili bado wanatengenezewa.
Kuhusu ukubwa. Sidhani kama kuna mahali mtu kasema kuwa hii ndege ni kubwa kuliko zote. Labda mtu asie na ufaham na hizi ndege.
Lakin pia boeing 787 sio ndege kubwa zaid.. kuna airbus 380 kwa upande wa abiria ndio kubwa zaidi.
nisawasawa na kujisifu kuwa una passo moja na jirani yako ana landcruiser tisa
TANZANIA
CS300/A200-300 -medium-range jet airliner with Capacity of 108 to 133-seat passengers
Unit cost US$ 89.5 million
Idadi ya ndege moja (1)
ETHIOPIA
Airbus A350 - long-range, twin-engine wide-body jet airliners with capacity of seat 280 to 366 passengers
Unit cost US$317.4 million
Idadi ya ndege tisa (9)
Swali la kijinga, Tanzania inasemwa kuwa ya kwanza ni sawa na kuwa wa kwanza kuongia chumba cha mtihani lakini linapo kuja swala la kuwa wa kwanza kwenye mtihani ji jambo jingine kabisa. Sio kwamba ni gharama, ethiopia ina dreamlinner 29, dreamliner moja ni a200-300 mbili na ushehe.La kujiuliza ni kwanini nchi zingine za Africa hazijanunua hiyo ndege.
Yawezekana wamefanya home work ya Cost-Benefit analysis wakaona haina haja ya kununua ndege hiyo.
Mkuu mbona unaongolea 380, hapa ndio najua kuwa unashabikia kitu usicho jua.
Ndege tanzania imenunua ni a200-300 ambazo miezi michache iliyopita zilikua Inaitwa c series (cs300)
Hivo inapozungumzia 380 , lini Tanzania imenunua 380?
Sijataja africa mkuu, engineer sima vizuri....Namba 1 ni uongo, haijasemwa kwamba hiyo ni ndege kubwa kuliko zote barani Afrika.
2. Ni kampuni yenyewe imetangaza kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza barani Afrika kutumia ndege hiyo ya Airbus A 220.
Pili, ni aina ya injini inayotumika kwamba ni ya kwanza kuja Afrika, injini hiyo yaitwa GTF inatengenezwa na kampuni ya Pratt & Whitney na haijawahi kuuza injini kwa ndege za kwenda Afrika.
Na kwa kukuelimisha zaidi Tanzania na Air Tanzania inakuwa nchi ya tano duniani kumiliki ndege ya aina hiyo nyuma ya Swissair, Korean Air, Air Baltic na Delta Air Lines.
3. Tuseme ni uamuzi, je ni nchi ipi ingine ya Afrika imeamua kununua ndege kama hiyo ya Airbus A220?
Usipende kuandika tu mambo ambayo pengine unahitaji wigo mpana wa kuyaelewa.
Sorry sikukuelewa mkuuNafikiri ww ndio hauja niaelewa. Nimejarib kukanusha baadhi ya kauli ambazo ww unadai kuwa zilitamkwa.
Sina ushabiki lakin nataka kuweka fact wazi..
Sijakataa kuwa tanzania imenunua airbus A220-300 hapo awali ikijulikana kama Cs300..
Hakuna mahali nimendika kuwa tanzania tunamiliki A380, bali nilichondika ni kuwa kwa upande wa ndege za aibiria A380 ndio kubwa. Na tanzania hatuna uwezo wa kuimiliki .
Umetumwa na lumumba jioni una book 7 najua.umetumwa na mabeberu weweView attachment 976597