Haya mabango ya barabarani yamenifurahisha

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Jul 16, 2021
1,608
4,774
Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town.

Sasa leo nikaona acha niende huko mjini kununua mahitaji kidogo, aisee nimeshtushwa kidogo baada ya kila kona ninayopita kwenye barabara kukutana na mfano wa aina hiyo ya bango (picha ipo chini, mabango ya Dodoma sikufanikiwa kupiga picha) mpaka nkashtuka nikasema nini hiki kinaendelea tena!

NB: Wayaongeze hayo mabango maana mbona ni machache sana.

IMG-20230325-WA0001.jpg
 
Habarini wana JF, Kiufupi mi Shughuli zangu za kutafuta Coins nazifanyia tu hapa hpa mtaa Fulan hku Dodoma ila zilipita sku nyingi kidogo kam Mwezi hvi sijaenda Town,

sasa Leo nikaona acha niende huko mjini kununua mahitaji kidogo Aisee nimeshtushwa kidog baad ya kila kona nayopita kweny barabara nakutana na mfano wa Aina hiyo ya Mabango (picha ipo Chini) (Mabango ya Dom sikufanikiwa kupiga picha) mpk nkashtuka nikasema nn hiki kinaendelea tena!.

NB: Wayaongeze hayo Mabango maan mbona ni Machache sana

UZI TAYARI
Sawa
 
Kwa watu mliopo nje ya Jiji hili maarufu nchini Tanzania basi majengo hayo mnayo yaona mawili yamefanana yanaitwa PSSSF TWIN TOWERS ambayo yapo katikati ya Barbara ya Samora na Sokoine Drive katikati ya mtaa uitwao Mission street.
 
Back
Top Bottom