Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,469
Kumbe wanawake hawajui wanachotaka.
^^
Hee imekuwaje tena Mkuu, kuna mhusika two ten, msikie tu, siku akija patachimbika humu.
^^
Mbona nishatongoza tayari?
Mimi yangu kimweku mweku cha mchina nafunga na mpira kwani imeachiana ni zile za elfu 30000/=tsh tu.
Uache nawe ufake. Eti mchina wakati una iphone 6, eti unakaa gongo lá mboto, wakati uko Orange City CA, USA.
Eiyer kuna watu kama hawa ambao ni very humble na wanaficha sifa au accomplishment zao, nao si FAKE.
Uache nawe ufake. Eti mchina wakati una iphone 6, eti unakaa gongo lá mboto, wakati uko Orange City CA, USA.
Eiyer kuna watu kama hawa ambao ni very humble na wanaficha sifa au accomplishment zao, nao si FAKE.
Ndo sisi tunakutana sokoni nanunua dagaa, nyanya chungu n.k
nahemea vitumbua vya kunywea chai pale kwa bibi athumani
ila huku ntaandika natoka shopping supermarket nimenunua fillet na hapo kwenye vitumbua ntasema nimekula baga
Mupenzi anaishi nyumba ya pili kutoka hapa uswazi kwetu anazurura tu ila huku ntasema yupo nje kikazi
rahaaa utamuuuuu
hahahaaaa! wallllahi nisingekubakiza dadeki.. kwa kibambataa ulichonacho mamii,
ningekodi vx dadeki..!
kwema lakini huko?... hujaingiliwa na maji kweli? lol.
hahahhaaaaa!!! aisee ningekwachia ningeonekana sina tabia njema aisee! ningehakikisha unakaa wiiki nzimaaaa!Hahahahahah. ....ndio maana nilisepa ningejionyesha kwa mamba saa hii ningeshaliwaa...
Chezea mzee wa installation wewee!!!
^^
Kumbukumbu zangu zinaniambia ulisema unamwita shemeji kwa sababu huna pesa, i.e why nikakuuliza umezipata?
^^